Sioni hata mantiki ya kuulizia aliko Kikwete juu ya hili! Kwani Zanzibar si ina Rais wake? Kazi yake ni nini kama hawezi hata kutoa tamko dhidi ya mambo yanayoihusu nchi yake mwenyewe anasubiri hadi asemewe na Kikwete? Kwani yeye ni mkuu wa mkoa kule? Si amechaguliwa na wananchi? Sioni umhimu wa Kikwete kwenye hili linaloendelea Zanzibar rais aliyepo kule anatosha kuongoza jeshi la polisi kufanya msako wa kufa na kupona wa hawa boko haramu na kuwamaliza kabisa. Najua hawezi kuamrisha jeshi la wananchi lakini siyo jeshi la polisi. Mwambieni Sheini atimize wajibu wake.KIKWETE, KIKWETE,KIKWETE unafanya nini OMAN nchi inateketea na mwivi
Mkuu sasa Kova ni kamanda wa polisi wa Zanzibar? Jamani ni mapema sana kuongelea habari za jeshi hivi leo. Bado sana hatujafikia huko kwa kuingiza jeshi. By the way jeshi limekuwa trained kuua na kumediate.Jamani kama Kova ulinzi umemshinda si aombe msaada kwa Mwamunyange? JWTZ kwa nini msiingilie kati? hao wanochoma makanisa kwa nini wasiende kuchoma au kubomoa kambi ya jeshi wawe na silaha? kama hawajakiona cha moto wanawaonea polisi tuu.
Zambi ya ubaguzi ni saw na kura nyama ya mtu,ukiishaa ionja uwezi kuacha.....J.K NyerereIla uamsho wanaruhusiwa kuua polisi si ndivyo?
angeuwawa JWT huko zenzi wengekua wanalala saa kumi jioni kuamuka saa mbili asubui.!
RIP askari wa kike.. Kikwete anakula tende ulaya .. Nawashauri askati mtumie silaha za moto
Zambi ya ubaguzi ni saw na kura nyama ya mtu,ukiishaa ionja uwezi kuacha.....J.K Nyerere
Naomben number ya baba riz 1 nimpigie simu,haezi leta mzaha mzaha tu kwa kila jambo.
POLISI ACHA MFE,
MNAJITAKIA WENYEWE SILAHA MNAZO MAMLAKA MNAYO MNASHINDWA KUYATUMIA.
MKIAMBIWA KUWA MKO OVERPOWERED BY SOMEBODY MNAKANA.ENDELEENI KUUWAWA NA
SILAHA ZENU MKONONI.
By the way endelea kutujuza kinachoendelea na ikiwezekana tupia picha za
mauaji hayo.
Huku tunakoelekea siko jamani!
hizi post za kutaka jk arudi ,katika zama hizi za upashanaji habari si atakua anafahamu kila kinachoendelea.naona kama ni pointless.