Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

Ninapendekeza kuwa kwenye katiba yetu mpya itamkwe bayana kuwa pale Rais anapohatarisha usalama wa nchi kwa maamuzi yake,TISS/UWT wawe na uwezo wa kumuondoa madarakani kwa njia zozote zile!!
 
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...

More updates to follow.

Propaganda za udini alizo zifanya kikwete katika kuingia Ikulu mwaka2010 zimeanza kuzaa matunda ambayo kwa waelewa tulijua tutafikia hapa
 
  • Thanks
Reactions: awp
Waache wawauwe tu hao askari, maana wenye dhamana wameshindwa kuchukua hatua za kuwadhibiti mapema. Ila inaniuma sana kugundua tunalelewa na BABA WAKAMBO, yaani haim huu kabisa na hana wasiwasi kabisa
 
Duh! Mi naona sasa tunakoenenda ni police sasa kujb mashambulizi!

Haiwezekani kamwe mtu kumua mwenzie kimya bila sababu!
Hata leo nafikiri tutasikia mengi sana!
 
Nazidi kupata raha nnaposikia polisi kauawa kwa sababu wao wameshindwa kuua waislamu mbagala wanawachekea kama shangazi zao pamoja na kufanya uhuni wa kiislamu tena mbele ya macho yao......polisi zaidi wakuiuawa nadhani itasaidia kupandisha mzuka wa kuwaadabisha hawa waislamu
Nafikiri hapo kwenye RED ndio mipango ya CHADEMA ikiingia madarakani.
 
Askari ni watu kama sisi kinachowafanya waitwe askari ni majukumu yao. Sioni kama kuna la kushangilia hapo kwani hata wengine wetu hapa JF wamekuwa mara kwa mara wakiulizia mishahara ya polisi ili wajiunge.

Nachotaka kusema ni kwamba, watu wakishaamua kuwa wadhalimu hata polisi hawako salama. Tunaishi wote mitaani, wakikukosa ukiwa na gwanda watakupata ukitoka kwenye ibada. Muhimu ni kwa serikali kujua kuwa jambo hili haliliumizi kanisa peke yake kama walivyokuwa wakichekelea mwanzo yalipochomwa makanisa.

Uamsho walichoma BAR na vibanda vya biashara vya watu wa Bara, polisi wakasema vilichomwa na watu wasiojulikana, yakafuata makanisa, hivyo hivyo, sasa ni ofisi za CCM na roho za polisi, endeleeni kucheka
 
Watanganyika hii nchi yetu zamani kisiwa cha amani inaelekea wapi? Haiwezekani Rais JK watu wako wanauwana ww unatembelea Mosque badala ya kukatiza ziara na kurudi nchini mara moja. Hata hivyo nalazimika kujiuliza maswali

(a) Waziri Mkuu aka Bwana Kulialia uko wapi mbona nchi haina mwenyewe?
(b) Waziri wa Mambo ya Ndani aka Bw. Kamati hewa huna jipya la kuinusuru nchi hii?
(c) IGP aka Tisha toto wanaokufa ni Bata au Askari wenye dhamana ya kulinda nchi hii?
(d) Wananchi wa Tanganyika aka Waogopa Haki tuko wapi au tutayasema haya tukiwa ahera

Haya kila mtu mara baada ya kusoma hii sread uiombee Amani nchi hii ili MUNGU atuepushe na shari. Viongozi wetu wakp likizo japo wanaonekana ofisi na Suti zao nzitooooo.
 
Laana ya kuchoma makanisa na kuharibu mali za watu wa Mungu hazitawaacha. Watauana hadi watakapotubu. Na si kuuana tu, tusishangaee siku chache zijazo tukasikia meli nyingine imezama. Chezeya Mungu nyie...
 
Back
Top Bottom