Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 General Election
Mkuu mrangi hafii mtu hapa. Nilijiamin Ndo maana nikaitoa Ruto lazima ashinde na awe rais. Na sasa hivi nasisitiza tena RAILA ODINGA AKISHINDA HUU UCHAGUZ NATEMBEA UCHI HADHARANI SIKU TATU MFULULIZO HALAFU KABLA YA KUJIUA NAKUNYA VIOLENTLY NAKUTANDAZA MAVI AGGRESSIVELY KUACHA HARUFU MBAYA NA LAANA.

Prince Kunta hydroxo Ncha Kali Nyamizi Glenn Victoire Magonjwa Mtambuka ras jeff kapita adriz raraa reree MUSIGAJI Extrovert
Bora ujiue tu ili mume wa dadaako apumzike kukulisha
 
Ni suala la muda tu Kenya lazima kipigwe...utasikia Mtu anahojiwa anasema "Watangaze matokeo watu waendelee na shughuli zao".

Hao tume ya uchaguzi wenyewe wanajiandaa kisaikolojia kwanza maana wakitangaza matokeo ya uraisi ndio wamepiga filimbi "anzeni".

Hakuna wa kukubali mwenzake ashinde, sio Ruto wala Baba...tuwaombee sana jirani zetu hawa.
Wacha wapasuane tu, tujue wapi panapo vuja.
 
Mnaombea itokee vurugu mpate kwa kuanzia?Bado.Kenya wameizidi Tanzania mbali sana izungumzwapo demokrasia.Tuna la kujifunza.Hajauliwa wala kupotezwa mkinzani.Intaneti ipo vema.Na wala Chebukati hajafuta uchaguzi ingawa Raila amedai yeye ni mshindi.
NB:Hivi Jecha yupo nchi hii?
Nasikia msimamizi wa uchaguzi katekwa huko, hiyo vipi ishawahi kutokea kwenye nchi ya Amani?
Democrats Africa tunafosi tu.
 
Umesema yapo mengi sana... nimekuuliza swali simple tu, kama yapi?
Unaishia kutoa povu, nani hatumii akili kati yangu na wewe?
Wewe huna akili za kutumia kuona makosa?
Hapo ulipo unaamini kila kitu kilikwenda sawasawa?

Usinipotezee muda wangu na maswali ya kijinga.
 
Wewe huna akili za kutumia kuona makosa?
Hapo ulipo unaamini kila kitu kilikwenda sawasawa?

Usinipotezee muda wangu na maswali ya kijinga.
Mimi sijaona makosa, wewe uliyeona makosa mengi na unashindwa kutaja hata moja utakuwa zezeta la wapi?
 
Back
Top Bottom