Kenya: Raila ataka bosi Tume ya Uchaguzi ashtakiwe Mahakama ya Kimataifa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kiongozi huyo Umoja wa Azimio, Raila Odinga amedai utawala wa Rais wa Kenya, William Ruto hautendi haki katika mchakato wa uchunguzi unaendelea kubaini maovu yaliyotokea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022.

Amedai Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati aliharibu uchaguzi na anatakiwa kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) iliyopo Hague Nchini Uholanzi, kama haitafanyika hivyo hakuna haja ya Wakenya kushiriki uchaguzi wa 2027.

Aidha, Odinga amewatetea Wajumbe wanne wa IEBC walioshtakiwa na kudai Chebukati ndiye tatizo na aliyoyafanya ni kinyume na ubinaadamu.

=====- ----

Raila Now Wants IEBC Chairman Wafula Chebukati Taken To ICC

Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga has welcomed President William Ruto’s pledge to investigate the conducting of the August 2022 presidential election, including events at the Bomas of Kenya around the announcement of the results.

This comes a couple of days after President Ruto, in a roundtable interview with journalists, expressed hesitation in setting up a commission to investigate the events at Bomas prior to the announcement of the presidential results.

Mr. Odinga, who spoke in Mombasa on Friday, says the probe into the August 9, 2022 General Election must be genuine, stating that Kenyans deserve to know the truth on what transpired.

“Juzi ulisikia wakisema wabunge upande ule ati uchunguzi ufanyike kuhusu Bomas of Kenya...mimi nasema alham dulilahi...wamechukua wale commissioners 4 ati wanashtakiwa walifanya maovu,” he said.

The Azimio leader said President Ruto's administration is not honest in its probe in the general election, defending the embattled four IEBC commissioners; Juliana Cherera, Irene Masit, Francis Wanderi and Justus Nyang’aya.

Mr. Odinga, instead, accuses IEBC Chairman Wafula Chebukati of bungling the election, opining that he should be charged at the International Criminal Court (ICC) in the Hague.

“Mpaka tusafishe takataka ya Chebukati, yale amefanya ni crime against humanity anafaa apelekwe Hague ashatakiwe huko....kama haitafanyika hakutakuwa na haja Wakenya 2027 waende uchaguzi,” he stated.

He further stated that he is committed to continue keeping the Azimio coalition party intact, amidst reports of an in-house split.

“Wanasema kuwa mti kuu ukianguka wana wa ndege huyumba, nawambia msife moyo kuna njia...na hivi karibuni nitaongea niwaambie njia tutafuata,” he stated.

The ODM party chief also went ahead to slam his critics saying he is not retiring from politics just yet.

“Wananiambia ati Raila aende Bondo...mimi nikitaka kwenda Bondo ninajua njia…lakini sio Ruto ndio ananipeleka Bondo, Wakenya wamesema Baba aendelee,” he said.

For now, Mr. Odinga stated that he is embarking on revamping his ODM party this year by conducting grassroots elections to build a stronger political outfit ahead of the 2027 polls.

“Tutaanza mwaka na kusafisha chama yetu ndio iwe imara,” he said.

Source: Citizen.digital
 
Ifike pahala huyu baba apumzike
Kwa nini watanzania tunapenda sana kuona watu wanaotoa madukuduku yao kuwa ni wakorofi? Kama mtu anafanya mambo kwa mujibu wa sheria hakuna tatizo. Nchi inatakiwa iwe na watu wenye mitazamo tofauti ili kuleta ushindani. Unataka wawe kama kwetu ambako wananchi tumelala usingizi tororo huku watawala wakifanya wanavyotaka?
 
Mbona maelezo marefu. Sasa kama kura hazijatosha unataka wampe kwa hisani?? Na kwanini akishinda mtu flani inaonekana waliiba kura ila angeshinda yeye ni haki. Babu apumzike atadondoka mahakamani siku
 
Kuna sehemu nimesema nataka wampe kura za hisani? Jaribu kusoma kwa ufahamu. Mimi nimesema acha kila mwananchi atumie haki yake ya kikatiba iwapo anadhani ameonewa. Wewe unajaribu kumzuia kwa nini? Akidondoka mahakamani ni baba yako anayekulisha? Unaleta maneno ya stendi hapa mazee!
 
Mimi nimemzuiaje? Hivi unasoma unachoandika kabla hujapost? Nyie ndo mnaotangulizwa mbele kwenye maandamano kama mifugo
 
Back
Top Bottom