Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

Nyie jaribuni kufanya kama misri ndio mtajua udhaifu wa hii serikali. Tunaanza na hao viongozi wenu wa CDM,tunapiga mpaka unasahau wapi nyumbani. Mnataka kuleta upumbavu sasa.nyie si mnasema mna mungu? Sasa huyo mungu itabidi ashuke siku hiyo
 
Hivi wameshindwaje kumpopoa rais dhaifu hao wanakijiji?

Mkuu sasa wewe unatoa amri huku umejificha nyuma ya Laptop jitokeze basi wewe upopoe mawe msafara ndio utajua nidhamu ya jeshi la polisi wetu na udhaifu unaousema ndio utaujua siku hiyo.
 
Hivi msafara wa rais mnauzuiaje? Hapa bado nahitaji technical explanations za namna ambavyo hili limefanyika.

Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
HUU NDO UKWELI USIPINGIKA, NAONGEZEA TU NA KAMWE CCM HAITATOKA KWA KURA (VIKARATASI), HILO MSIDANGANYIKE HATA NCHI NZIMA MKIAMUA KUPIGIA UPINZANI WATACHAKACHUA, SABABU MFUMO HAURUHURU KABISA. SULUHISHO WATZ MKUBALI MSIKUBALI NI KAMA "TAHRIRI SQUARE MISRI"...TU VINGENEVYO MTALALAMA SAAANA WALA HAWATAJALI.....KAZI KWETU KUSUKA AU KUNYOA
 
Mbele ya AK47 @ m2 alilala kona, ukisikia msafara wa E1 (Escort No. 1) ndio huo
Sanasana wakipopoe kituo cha BigOne
 
Ritz nipo eneo la tukio baunsa mmoja tayari tumesha mmwaga kinyesi bado ACP Msangi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa wewe unatoa amri huku umejificha nyuma ya Laptop jitokeze basi wewe upopoe mawe msafara ndio utajua nidhamu ya jeshi la polisi wetu na udhaifu unaousema ndio utaujua siku hiyo.

Mbona mbeya walimchapa mawe? hata bongo kunasiku tutamchapa DHAIFU asubutu kwenda Muhimbili kupeleka unafki aone
 
Mkuu kwani tuna ugomvi mie nimeuliza kufahamu.

Mali-1-articleLarge.jpg
 
Mbona mbeya walimchapa mawe? hata bongo kunasiku tutamchapa DHAIFU asubutu kwenda Muhimbili kupeleka unafki aone

Tusiandikie mate na wino upo J,pili saa 11 jioni Rais anatapita Morogoro road njoo upopoe mawe uone serikali dhaifu watakavyofanya kazi.
 
Alikuwa anaenda kufungua mkutano wa wa dunia wa shirika la Roho Mt. kanisa katoliki unaofanyika bagamoyo
 
Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.

Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na kuwatimua na ndipo msafara ukapita mpaka sasa FFU wapo kwenye purukushani ya sombasomba maeneo hayo ya namanga.

Chanzo Nimepita hapo muda sio mrefu.

Hivi mnasemaje?Kwamba nimepigwa mawe?Nimenyamaza sana sasa kila mmoja anaandika atakalo,naingia ndani,nikitoka sasa nitatoka na mwingine.Acheni viherehere,mbona uongozi
 
Tusiandikie mate na wino upo J,pili saa 11 jioni Rais anatapita Morogoro road njoo upopoe mawe uone serikali dhaifu watakavyofanya kazi.

kumbe unajua serikali ni dhaifu? sasa umeanza kuvua gamba!!
 
Safi saaaana kwani alikuwa nakwenda wapi au shambani

Katiba ijayo Rais asiwe na shamba wala biashara kwani safari kila kukicha za kwenda shamba ni za kupoteza kodi zetu; halafu alisema mwenyewe kuwa anauza mananasi halafu halipi kodi, eti serikali itengeneze utaratibu wa namna yeye atalipa kodi baada ya kuuza mananasi yake!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom