Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

Serikali za mitaa chama gani kimeshinda hapo?

Kariakoo kuna wazawa na watu wanaokuja kupiga biziness na kurudi makwao. Wakaaji wa pale ni CCM damu,machinga na biziness men wengi hawaishi pale. Mhindi,msomali,mwarabu ni ngumu kuchagua chama pinzani, unakumbuka kale ka propaganda 2010.
 
Jiji lolote lile duniani lahitaji usafi na mipango, hatuwezi kubali watu wafanya biashara kiholela eti sababu ya kura. Hapana twahitaji endelea hivyo hatuna budi hata wachache waumie ili wengi wanufaike baadae
Kuna maeneo ya Jiji hakuna wamachinga,hakuna biashara holela lakini bado machafu,hilo unalizungumziaje?hivi zile chemba zinazomwaga maji taka city center zinasababishwa na wamachinga?wamachinga hao hao na mamalishe wanaoitwa wachafuz wa jiji ndo wanaotozwa kodi.Mimi sijawah ku wa mmachinga ila wale vijana wenzetu mjue,watengenezeeni mechanism usiongee hapa kwakua umeshiba kiporo cha wali maharage unajambajamba tu,nimeshawahi kuona mgambo na polisi wakivunja vunja vyombo vya mama lishe pale roundabout ya Uhuru while mboga na wali wanaondoka navyo,Yule bint amepanga nyumba,anasomesha na ana majukumu mengine vile vile,na watu walio kwenye informal sector nchi hii ni wengi sana,je wanasaidiwaje?hebu vaa viatu vyao then uone hyo pinchi yake.
 
Uchaguzi umeshapita lazima mtatimuliwa.

Ndio serikali tuliyoichagua majuzi katika uchaguzi.

Na mwakani wakichaguliwa tena wanabinafsisha mitaa yote ya kariakoo tuone kama wamachinga mtafana biashara hapo.

Poleni sana majeruhi na Poleni sana Wafiwa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Hii ni hasira ya ccm kukosa kura za vijana na kuamua kuwafanyizia. Mbona siku zote hao jiji walikuwa wamewaacha? walikuwa wanasubiri uchaguzi upite wapime upepo? Wanachosahau ni kuwa uchaguzi mkuu upo mlangoni tayari.
 
Na kweli hizi ni hasira,

Kwani yaliyotokea MWanza na DSM ni sawa na kwa siku moja.

Kiama inakuja mwakani. Kinachotakiwa siyo Utawala wa mabavu bali Busara katika kuamua mambo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Uchaguzi umeshapita lazima mtatimuliwa.

Ndio serikali tuliyoichagua majuzi katika uchaguzi.

Na mwakani wakichaguliwa tena wanabinafsisha mitaa yote ya kariakoo tuone kama wamachinga mtafana biashara hapo.

Poleni sana majeruhi na Poleni sana Wafiwa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society
 
Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society

My Dear Friend;

Who is more dangerous to the society....!!!!!

Me or the ASKARI WA JIJI who kills innocent people?

Walalahoi are trying to find Daily bread, using the right way.

Will you be happy is they Rob???

Let the so called MAKACHERO start dealing with the thieves of ESCROW account

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom