Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

Yaa hii serikali ni hovyoooo,wa kukamatwa wanaombwa wapishwe,wapiga kura/wakusanya kodi wanakimbizwa kimbizwa tu!!
 
Mtu una post news alert watu wanaleta utani halafu wanajiita great thinker!! Mnazidi kuishusha dhamani forum yetu!! shame on you!!.Thanks waliotujuza ni city na machinga!.Mida hii naona na zima moto linapita kwa kasi!!
Great Thinkers wamepaki wachache sana ndugu yangu, humu ndani wamejazana div 5 tu.
 
Muda huu gari tatu,Polisi magari mawili na msd gari moja yamepita hapa kwa mwendo kasi ajabu wakiwa wamevalia full na siraha kamili.Aliyeko mtaani atujuze zaidi.

Mimi nipo hapa kariakoo, ni issue ya machinga congo, nasikia mmoja kafa so maandamano yalielielekea polisi mabomu ya machozi yamerindima kwanzia congo hadi kituo cha polisi
 
Inasemekana askari wa jiji walikuwa wanakamata biashara za wamachinga mtaa wa kongo, na wafanyabiashara hawakukubali ndipo fujo zikaanza na wafanyabiashara wakafunga barabra na kuchoma matairi, ndio Field Force wakaja kutawanya watu na mabomu ya machozi kupigwa kwa wingi na risasi za moto kupigwa hewani.

Hii ndiyo taarifa kuhusu yanayojiri Kariakoo.
 
Nackia wagambo wa Jiji wameliwa raia kwa kumpiga xo wamachinga wamekatA fujo
 
Back
Top Bottom