Wanaume wa dar ni waoga sana hawana tofauti na mabinti
Sina nia ya kuanzisha majibizano na wewe hapa, kama ntakuudhi nisamehe in advance. hivi kweli, katika yote humu, we umeona hilo ndio la maana kweli?!

Sana tena. Kuna zaidi ya lugha yetu ya Taifa?
Wewe kama Mtanzania una nini cha kujivunia zaidi ya Kiswahili leo hii? Ikiwa unashindwa kukilinda Kiswahili utaweza kulinda nini kingine? Lugha ndiyo uzalendo wa kwanza kuliko chochote kingine, uzalendo wako uko wapi?
siyo wamepaki ni wamebaki
Gari tatu tu zinatuliza umati wa wamachinga? Kweli nchi hii bado.
Wakazi wa mtwara tunapanda magar tunakuja kuwasaidia komaa nao mpaka jion tutakuwa tmefka.musichokee tatzo leo nyie watu wa dar ni waoga sana...tukifka ngoma mpaka magogoni
Kwa Fujo na mateso walioyapata wananchi na wafanyabiashara wa kariako.Mm Leo nimekumbuka kauli ya msanii machachali ROMA MKATORIKI. Alipo Sema TANZANIA HAKUNA AMANI ILA UWOGA UMETAWALA.