Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,383
DW hawajamtendea haki Nepi Niue... Lema sio size yake. Ni kama jana Ndui-GAY na Lissu! Uuuwwwiiii
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.
Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

uuuwiii....uuuwii.....uuuwi, kamata mwiziiii....Nepi ni pumba tupu! Kaongea maneno matatu na kuchomekea neno "ujinga", meza ikamkosoa fasta!! Aibu kwa Nepi!my God! Nape naye ni makini? Uuuwiiii
Kwa nini wasimuite Ndugai, kwani Nape ni mbunge wa wapi? CCM nayo inatia huruma, kuwakilishwa na Nape ni sawa CDM iwakilishwe na She-Budha
Kivipi?Au Bunge la India, Nchi yenye Democrasia ya kipekee duniani,