Vurugu bungeni - Mh. Lema na Nape live DW

Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mnang'ang'ania kuishi mjini wakati uwezo hamna, matokeo yake ndio haya...bado kidogo utaanza kumwita Nappe baba sababu ya njaa zako.!
 
Sasa hii nini tena?viongozi wa CCM wameshindwa kwenye vitendo hilo halina ubishi hata kidogo,kwenye midahalo nako wako ziro!kumbe hakuna kilichobaki CCM.Nakumbuka enzi za TANU na CCM ya kale jinsi ilivyokuwa na watu makini hata kwenye mikutano ya nje ilikuwa msemaji wa TZ akiongea watu kimya hata kikohozi hakuna.
TUMEPATWA NA NINI?
 
Nape hapa ni Ukrein ndani ya bunge! Wabunge wa upinzani wanayimwa haki zao za kutetea wananchi waliowachagua!

3parliament_fight_mexico.jpg


2043-733282.jpg
 
Nape anaongelea mambo ya Bunge? Si alishindwa katika uchaguzi wa Ubunge 2010? Chama chake kilimuona hafai, sasa anaongea nini?
 
Kwa hiyo Nape hiki kiko njiani kuja endapo hamtawatendea haki wapinzani waliochaguliwa na wananchi! Hapa chini ni Rusia!

imgxxqz8e.jpg
 
Walishakutanishwa siku moja na Nape akaanza kufoka foka ovyo kuhusu mauwaji ya Iringa.

Tundu Lissu alimsikiliza na alipokuja kujibu akasema "..... Nape hajibiki."

Na kweli hakujibizana naye kabisa na Nape alikaa kimya kwa aibu hadi mwisho. Angalia Video....


Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hata huyo mwandishi wa habari wa DW ana matatizo sana katika kutafuta na kuandaa kipindi cha mahojiano.

Mambo ya uendeshaji wa bunge na yanayojiri huko alitakiwa kuwahoji/kuwakutanisha wabunge wenyewe ama wabunge na viongozi wa bunge.

Kumhoji nape ambaye si mbunge na hajawahi kuwa mbunge. Nape hajawahi kuwa kiongozi katika nafasi yoyote ya kuchaguliwa kupigiwa kura si ndani ya ccm ama katika taasisi ya umma au binafsi. Hata uenyekiti wa mtaa hajawahi kuushika na kwahiyo hajui joto la ushindani wa hoja na itikadi. Mara zote tumemsikia na kumuona akipanda majukwaani kutukana wapinzani tu kwakuwa hana hoja wala uwezo wa kujenga hoja.

Kimsingi hana uwezo ama uzoefu wa kuongoza watu katika muktadha wa ushindani wa hoja hasa za watu wenye itikadi tofauti. Hapo alitakiwa awepo mbunge wa ccm kujibishana na Lema ama spika au naibu wake. Nape ataishia kuongea utumbo tu kwakuwa hata kanuni za bunge hazijui kama alivyodhihirisha jana kwa mara nyingine naibu spika ******.
 
Kwa nini wasimuite Ndugai, kwani Nape ni mbunge wa wapi? CCM nayo inatia huruma, kuwakilishwa na Nape ni sawa CDM iwakilishwe na She-Budha

Hivi hujamwona alivyolia jana? Unataka akalie tena radio za kimataifa?
 
Nape kinachomponza ni kihelehele na masifa.Juzi alisema bunge lisiende live eti watuwanakuwa makazini kwa maelezo hayo kweli huyu ni mtu wa kuwakilisha chama?Sio kila sehemu inahitaji propaganda hapo ni fact tu huyu Nepi anaweza udaku tu na kujipendekeza.Kama kuna makosa yamefanyika ni kumkutanisha na Lema hapo Nape ameonewa,uelewa wake hata mnapo mfananisha na Shibuda mnamuonea mzee wa watu hayupo HOPELESS kihivyo
 
Kwa nini wasimuite Ndugai, kwani Nape ni mbunge wa wapi? CCM nayo inatia huruma, kuwakilishwa na Nape ni sawa CDM iwakilishwe na She-Budha

Kaka Ndugai jana alikuwa uso kwa uso na Lissu kwenye kipima joto ITV., ukweli hakuwa na jipya zaidi ya kuudhihirishi umma kwamba Kiti cha Spika kinayumba kwa 90%., mjadala wa jana kipima joto ulikuwa kuhusu Kanuni za Bunge na Demokrasia., Lissu aliongea mambo ya msingi huku akitaja kanuni za bunge kwa kila aongeapo Zaidi ndugai alikuwa akilalamika kuhusu habari ya Muembe Yanga., hakuna hata mtu mmoja kwa wachangiaji waliokuwepo na waliopiga simu wasilaumu mwenendo mbaya wa uendeshaji wa bunge kwamba wanapindisha kanuni aidha kwa makusudi au kuna uwezekano mkubwa kwamba Spika na naibu wake hawazijuwi kanuni za bunge ili kuikingia kifua serikali., alithibitisha hayo Tundu Lissu.,
 
Lema ameongea point sana lakini hata nape naona ameanza kuona upepo unaelekea wapi naona alikuwa mnyenyekevu japo hakuwa makini kujibu maswali vizuri
 
"Nape: Chadema wanatoka nje ya bunge kwa ujinga wao !"

Ingekuwa ni ujinga leo hii tusingekuwa katika mchakato wa kuandika katiba mpya ambao kila Mtanzania ana matumaini unaweza kuwa chanzo cha ukombozi wa kweli (kama magamba hayatauchakachua). Unakumbuka Nepi kuwa suala la katiba mpya halimo katika ILANI ya ccm? Jiukumbushe imetokeaje leo hii tuna mchakato!!
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Unazungumzia Majani yapi labda,! au Unazungumzia yale majani aliyoyafuga Mama yako chini ya Miguu!?
Leo unamsifia Lissu lakini ni wazi kwamba, umefanya hivi, ukidhani kuna Watu watasapoti huu ujinga,ulio post hapa, eti kwa vile tu unamkubali Lissu, lakini humkubali Lemma!

Ingekuwa ni Lissu aliekua anahojiwa, ungesema kwanini Chadema isingempeleka mtu kama MNYIKA!!

Wewe ya Chadema yanakuwashia nini? Hii ni sawa na Mama yako anakazwa kule wewe Unakatika huku!! Si usubiri zamu yako ikifika si Utakazwa tu,Haraka za nini!??

Katika siku ambazo Mh,Lemma ameongea Poits tupu, basi ni Leo, ila kwa Magamba Lema ni sawa na Paka na Mbwa!

HONGERA sana Kamanda Lema! Usiogope Mungu yu Pamoja nawe! Endelea kupigania haki na Usawa!
HERI VITA INAYO TAFUTA HAKI, KULIKO AMANI INAYO PUMBAZA NA KUUDHALILISHA UTU NA HAKI YA MWANADAMU!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUMGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom