- Thread starter
- #21
kanga moko si imepigwa marufuku pamoja na vigodoro, baikoko, mchiriku na mnanda?
Kwenye vunja jungu watakuwepo
kanga moko si imepigwa marufuku pamoja na vigodoro, baikoko, mchiriku na mnanda?
Miezi ya laana ndo ipi?
Tafadhali sana ndugu kama unatangaza sherehe zako wewe tangaza lakini usihusishe na ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kuna kosa tukiwepo? haya bhana nasubiri ujitoe hahahhaaaa happy sabath dayWasabato wamo hadi JF? Kama ni hivyo basi mi najitoa!!!