Tarehe zinasogea.
Siku za kuanza mfungo zinakaribia.
Wote wenye mapenzi mema wani pm nakusanya michango kwa ajili ya shughuli hii muhimu.
Natarajia Ustadh Mzee Yusuph atakuwepo, Kanga Moko watakuwepo, na vinywaji vya kutosha.
Shime shime wandugu tuchangamke siku zimebaki chache.