Dodoma iliasisiwa kuwa makao makuu ya CCM wakati Wa chama kushika hatamu. Ndio kisa wakajenga jengo kubwa la CCm Kizota. Nchi yetu si ile ya miaka ya 70, 80,90, tumeshaunganishwa kila mkoa kwa barabara kuu.Kila eneo la nchi linafikika kiurahisi kwa barabara, simu zipo n.kUsihofu, yale ni matamko ya mwendokasi tu. Binafsi sioni faida kwa muda huu, labda kipindi cha Nyerere ndio palikuwa na tija. Kuhama ni gharama na si kipaumbele kwa sasa.
Na mawasiliano yamerahisishwa mno...kama dunia imekuwa kijiji inakuwaje nchi moja ndogo ishindikane kuwa kijiji? [emoji144] [emoji144] [emoji144]Rethinking beloved country TanzanganyikaDodoma iliasisiwa kuwa makao makuu ya CCM wakati Wa chama kushika hatamu. Ndio kisa wakajenga jengo kubwa la CCm Kizota. Nchi yetu si ile ya miaka ya 70, 80,90, tumeshaunganishwa kila mkoa kwa barabara kuu.Kila eneo la nchi linafikika kiurahisi kwa barabara, simu zipo n.k
EE BWANA KAA KIMYA ZIGO LAJAASaa hizi matamko ya dodoma yamekwisha na nina amini hatutoyasikia tena itatafutwa nyimbo mpyaaaa ya kuibuka nayo hii ndo awamu ya tano
Na ni kweli hakika.Ipo siku watajitambua lakini itakuwa too late
Mkuu be a 'GREAT THINKER' bana hebu tupe facts zilizoshiba with vivid examples kuitetea hoja yako unaposema ni muhimu sana kivipi?Kuhamia Dodoma ni muhimu sana kwa namna ambayo JPM aliweka. I personally agree and wish that to strategically become a success come 2018.
Walihamia mwaka gani? na ilikuwa muda gani toka uhuru[emoji57]Mbona n9ja waliweza kuhamia Abuja?? Wabongo nyie ni waoga tu wa kila kitu maneno mengiii ndio maana wanaume wengi hawana nguvu za kiume kila kitu uoga uoga tu. Ona sasa hadi Rwanda imetuacha watu wanapiga kazi nyie mmekali maneno mingii ngachoka kabisa na wabongo!
Sikumbuki mwaka ila hao wanigeria kabla ya kuhamia walikuja bongo kula darasa jinsi tulivyojiandaa kuhamia Dodoma, lakini wao wakarudi kwao wakachapa kazi wakahamia fasta ,sie wabongo tumekalia porojo tu kila siku hadi akina kapuku lissu tunwaona eti ni mashujaa, wabongo maneno mingiii kazi ni sifuri kwa raslimali tulizonazo plus kufanya kazi hakuna nchi east Africa ingetupata ! ila tumekalia kuongea na kupenda ujinga ujinga...hebu tufanye kazi.Walihamia mwaka gani? na ilikuwa muda gani toka uhuru[emoji57]
Thenki yu saaVery crucial n vital question
AmenTusubiri majibu kutoka upande wa pili