Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

Ushabiki utakumaliza kijana, penda kufikiria kwa kutumia ubongo na sio moyo kama unavyofanya.
Asante wewe mwenye ubongo,lakini kumbuka Mshana kaandika kwa hekima sana,wewe umejitahidi ila ukaingiza vitu ambavyo havina umuhimu.
 
Rudi shule ukasome,Mkuu Mshana ameeleza vizuri sana bila chenga,na kila kitu ameweka wazi kabisa,sasa wewe unakuja na upupu wako kuhusu vita kutokea na mji mkuu kutekwa?,au uko kilabuni unakunywa kangara,kaa kimya kuliko kutujazia kurasa.
Inatakiwa ujifunze namna ya kujiongeza kijana,
sio watoto wako hadi wafe kwa njaa ndio ujifunze namna ya kuweka akiba ya chakula nyumbani kwako.
Kosa alilofanya Mwalimu Nyerere la kuendelea kuitumia Dar kama makao makuu ya nchi baada ya uhuru alishaliona akakiri na akatoa wazo la kuamia Dodoma, maraisi waliopita kama Mwinyi, Mkapa, Kikwete walishindwa ila Magufuli kathubutu kwa miezi 8 tu aliyokaa madarakani, baada ya watanzania kumuunga mkono mnaanza kuleta ushabiki na maneno yasiyo na maana.
Pia fatilia nchi zingine kama Marekani, Uingereza, China, Afrika ya Kusini, Kenya n.k kama makao makuu ya nchi zao yapo Pwani au katikati ya nchi zao.
 
Nchi yenyewe imeishauzwa,imebaki KAPUKU,nani anataka kuja kuteka au kufanya vita na MAKAPUKU?,hivi wewe hujui kwamba Tanzania kurudi kama mkoloni alivyoiacha itachukua si chini ya miaka 200?,kwa hiyo hifadhi nguvu zako ujitafutie uji na mihogo.
 
Asante wewe mwenye ubongo,lakini kumbuka Mshana kaandika kwa hekima sana,wewe umejitahidi ila ukaingiza vitu ambavyo havina umuhimu.
Mshana ajaandika kwa hekima, bali ameandika kwa itikadi na mtazamo wake,
kuandika kwa hekima maana yake lazima angekuwa neutral bila kuwa upande wowote.
Mtazamo wake umejaa kupinga juhudi za Magufuli tangu ametoa tamko la kuhamia dodoma ambapo ametoa mifano mingi yenye hoja nyepesi sana.
 
Nchi yenyewe imeishauzwa,imebaki KAPUKU,nani anataka kuja kuteka au kufanya vita na MAKAPUKU?,hivi wewe hujui kwamba Tanzania kurudi kama mkoloni alivyoiacha itachukua si chini ya miaka 200?,kwa hiyo hifadhi nguvu zako ujitafutie uji na mihogo.
Nasikitika kuona kijana hasa uliye JF kuongea maneno ya kukata tamaa kama hayo, ingekuwa FB ningekuacha ila kwa kuwa umo humu jamvini ngoja nikwambie kitu,
Hata kama hauna pesa nyumbani kwako jitahidi kila siku jifunze kuweka mazingira ya kuweza kupata pesa, ili siku Mwenyezi Mungu akikubariki ziweze kudumu.
Haya mambo ninayoandika ni madogo sana na nasikitika kuona unasema natumia nguvu kubwa, mana sijui wewe unatumia ubongo asilimia ngapi hadi unaona me natumia nguvu kubwa.
 
Mkuu andaa mili7 na laki 2 fasta
 
Ina maana watendaji wake (JPM) hawakumuelewa ama ni nidhamu ya uoga au ni upungufu wa kufikiri?..

Bila shaka ni upungufu wa kufikiri uliofanywa mchanyato na nidhamu ya uoga. Nina uhakika ukimuuliza mama Jenista kwa nini anaharakisha kwenda Dodoma by September, jibu lake litakuwa ni "kutaka kumuwahi PM". Ukihamia kwa Majariwa na kumuuliza swali hilo hilo, usishangae kujibiwa anatimiza agizo la mkuu. Nothing more.

Na Wazabuni waendelee kuzibana korodani zao tu mpaka kiherehere cha kuhamia Dom kiishe.
 
Kumbe Washington ni katikati ya Marekani nilikuwa sijui!!!!!
 
Usihofu, yale ni matamko ya mwendokasi tu. Binafsi sioni faida kwa muda huu, labda kipindi cha Nyerere ndio palikuwa na tija. Kuhama ni gharama na si kipaumbele kwa sasa.

acha kungangania DAR WEW MAMA HATA KAMA UMEWEKEZA HUKO UMUHIMU UPO TENA MKUBWA TU
 
Mkuu kuna Uzi ulianzisha mwanzoni kabisa mwa utawala wa Magu naona ulosema yanatimia!!

Kwamba mwanzo wa safari abiria na ndugu zao wanaowasindikiza huwa na furaha na matumaini mengi ya kufika, Dereva huaminiwa sana ila kadiri safari inavyoendelea ndivyo ugumu hujitokeza!!

Yetu macho!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye korodoni nimewaza tu kama mlengwa ni mwanamke
 
Ni kweli ila title nimeisahau please nipatie link kama hutajali
 
Dah... Hebu mwenyeakili na resources atupe takwimu serikali ikihamia Dodoma jiji la Dar litapoteza watu wangapi??? Tumechoka na hizi akadabradabra [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuhamia Dodoma hakuna faida yoyote kwa Tanzania ya leo,labda kupata sifa za kijinga tu kuwa mtu fulani amefanikiwa kuhamisha makao makuu ya nchi Dodoma
 
Mijitu mingine buana taabu kwelikweli, kila kukicha yanaibua mapya, sijui yamekula maharage ya wapi
 
Rudia kusoma kwa makini nilichoandika tafadhali
Watu wa dizaini hio utawachoka tuu maana akili yao inelowekwa kwenye ile rangi ya kijani, na madhara yake hayafutiki hata kwa kifutio cha Nataraj ni tabu tupu mkuu Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…