Vua gamba vaa gwanda: Heche aisambaratisha ngome ya Kilango Same

Ukiona akina mama kama hawa na wazee hao mabadiliko ya utawala upo jikoni.
 
Hii inaonyesha ccm haipendwi tena, slowly but surely, "the noose around people's necks is loosening"

Kama hii ni upareni, ccm's days are definetly numbered.
 
HECHE namkubari sana ni mchapakazi mzuri sana,ingawa wameibuka mamluki na matamko ya kipuuzi,lakini hawawezi kuzuia mvua kama inanyesha inanyesha tu,
HECHE komaa nao mpaka kieleweke hao mamluki watatokea dirishani.
 
NI AJABU ILIOJE KUSHUHUDIA JINSI GANI VIRUSI VYA CCM VINAVYOKOSA AMANI NDANI NA NJE YA CHADEMA KADRI JOTO LA 'M4C OPARESHENI VUA GAMBA VAA GWANDA' LINAVYOENDELEA KUPANDA KOTE NCHINI!!!

Mhe Heche, asante sana kwa na timu yako mahiri ya BAVICHA kuendelea kujikita zaidi kwenye KUFANYA KAZI KAMA AMBAVYO MLIVYOAGIZWA NA CHAMA CHETU bila kuwapa nafasi VIRUSI VYA CCM (Shibuda) ndani ya chama chetu kutuondoa akili KWENYE MAMBO YA MSINGI ZAIDI kichama na kuanza kutuelekeza kwenye yale ya pembeni kama ambavyo alivyoagizwa na bosi wake Mzee Wasira kule Chimwaga.


attachment.php


Tangu sasa tungependa kuona Mwenyekiti BAVICHA akielekea Tanga kuvua gamba wananchi na kuwavisha gwanda, naye Makamu mwenyekiti BAVICHA tumsikie kwamba yuko Sumbawanga anaendeleza safu kule.

Ndio, nasema hivi kwamba hata naye Katibu wa BAVICHA tumsikie akichanja mbuga na timu yake mikoa ya Lindi na Mtwara huku bila wanatimu kurundikana sehemu moja na wengine kuanza kujificha nyuma ya wenzao bila kukiletea chama matunda na badala yake kugeuka wapikamajungu wa ki-aina kwenye vyombo vya habari.

Pindi uonapo watu kama Mzee Shibuda wakipiga kelele zisizo na manufaa kwa mtu yeyote kichama basi tayari ujue kwamba ndani ya CDM kuna kundi fulani la
FREE-RIDDERS (Wazembe) wasiofanya kazi za kichama na badala yake wao kugeuka MA-DEBE MATUPU kutoa sauti kubwa zidi wakati kila mbunge na makada mbalimbali chamani wako bize kweli kweli kuendelea kukijengea zaidi CHADEMA mtandandao mzito mashinani kote nchini ila wao lao ni kusubiri tu kujitangazia kuja kuvuna faida za juhudi za wenzake kwa KUTUMIA MTANDAO WA CDM kumnufaisha binafsi KUGOMBEA KITI CHA URAIS.

Watu kama hawa lazima tuwe nao ndani ya chama wala msiwachukie kitu bali dawa kubwa kwao ni KUWAPUUZA HUKU TUKAWANYUNYIZIA 'DAWA YA MCHWA' wa kuwaondoa SUMU YA MAGAMBA ili wabakie tu kuwa GWANDA SALAMA siku zote kwa Maslahi ya Umma wa Tanzania.

Kila kiongozi ndani ya BAVICHA na BAWACHA, mkae mkijua kwamba wananchi hivi karibuni tutaanza kuwadai mtueleze kwamba vyeo tulivyowapeni mmeweza kuvitumia vema kiasi gani kwa faida ya chama kuingiza idadi gani ya wanachama wapi na kwamba kamwe hatutowaulizeni kwamba katika kipindi chote cha uongozi wenu ULIONGEA MARA NGAPI na vyombo vya habari.
 
Hongera kamanda.. Hivi ni vita vya ukombozi.. Vinafanania wakati ule Mwl. Nyerere & co walipokuwa wanapita vijijini na kuhamasisha wananchi dhidi ya ukoloni na wakoloni..
 
Shibuda anawatoa povu......mpaka mwaka uishe hakuta atakayekuwa amesalia
 
Hongera sana Heche moto huu hautazimishwa na virus kama Juliana, nafikiri sasa anajutia tamko lake na waliomshauri amechafua future yake ndani ya CDM it will not be the same again. God is great wameanza kujitokeza mapema mno hivyo itakusaidia wewe kufanya kazi zako vizuri huko mbeleni.
 
Kama ni mbishi unaweza usiamini kabisa kwamba labda mkutano huo ni Heche pekee amekusanya watu hao wote!!!! Ikiwa hivi ngoma nzito 2015 kwa wabunge wabunge wa CCM na rais.
 
Magamba inazama kina W.J.M wanaanzisha blog za kusifia totoz za kibongo ...
Mpaka kieleweke.
 
Kama ni mbishi unaweza usiamini kabisa kwamba labda mkutano huo ni Heche pekee amekusanya watu hao wote!!!! Ikiwa hivi ngoma nzito 2015 kwa wabunge wabunge wa CCM na rais.
CDM ya leo si ya mwaka jana iliyokuwa inategemea kiongozi mmoja, sasa Slaa kapumzika vijana wanafanyakazi.
 
Back
Top Bottom