ok shigela ana mbio za tumboni sio
What a picture.inaonesha sura mpya ya matumaini kwa wapare wenzangu.
The smile on this dear Babu's face says it all.
yule dada...makamu mwenyekiti yuko wapi? pumbavu kabisa
wasiwasi wangu soon mtasikia wanakataza vikao kama hivi vya uzinduzi
virusi kama ya magamba kama vya HIV. vinabadilika badilika sana shape
lakini kwa matumizi makubwa ya nguvu ya umma na uelewa wa wananchi vitakufa kama inzi
big up chadema tuko pamoja ingawa kikazi siruhusiwi kuwa na chama roho yangu damu yangu iko kwenu
Heche kwa hili nakupongeza sana,Wapare ni wagumu sana kubadilika,wameng'ang'ania ccm(gamba) kama kupe anavyong'ang'ania ngozi ya ng'ombe hata baada ya kuchinjwa.Kama hata hawa wametambua na kubadilika basi nchi sasa inakwenda CDM kwa watu makini.Ingefaa kila kiongozi akawa buzy katika maeneo tofauti tofauti wakiinadi cdm kila kona ya nchi hii ili kuamsha ari ya kutaka mabadiliko kwa kila mtanzania.Naona nguvu ielekezwe sasa Mwanga,Tanga,Morogoro,Dodoma Singida,Tabora,Mtwara Ruvuma na Pwani.
Wasalaam.
2015 shughuli itakua pevu!
Shibuda hawezi kufungua matawi ya chadema, labda afungue ya CCM. si unajua tena huyo ni balozi wa CCM ndani ya Chadema.Yule dada makamu mwenyekiti amefungua matawi mangapi?
Shibuda amefungua matawi mangapi?
NI AJABU ILIOJE KUSHUHUDIA JINSI GANI VIRUSI VYA CCM VINAVYOKOSA AMANI NDANI NA NJE YA CHADEMA KADRI JOTO LA 'M4C OPARESHENI VUA GAMBA VAA GWANDA' LINAVYOENDELEA KUPANDA KOTE NCHINI!!!
Mhe Heche, asante sana kwa na timu yako mahiri ya BAVICHA kuendelea kujikita zaidi kwenye KUFANYA KAZI KAMA AMBAVYO MLIVYOAGIZWA NA CHAMA CHETU bila kuwapa nafasi VIRUSI VYA CCM (Shibuda) ndani ya chama chetu kutuondoa akili KWENYE MAMBO YA MSINGI ZAIDI kichama na kuanza kutuelekeza kwenye yale ya pembeni kama ambavyo alivyoagizwa na bosi wake Mzee Wasira kule Chimwaga.
![]()
Tangu sasa tungependa kuona Mwenyekiti BAVICHA akielekea Tanga kuvua gamba wananchi na kuwavisha gwanda, naye Makamu mwenyekiti BAVICHA tumsikie kwamba yuko Sumbawanga anaendeleza safu kule.
Ndio, nasema hivi kwamba hata naye Katibu wa BAVICHA tumsikie akichanja mbuga na timu yake mikoa ya Lindi na Mtwara huku bila wanatimu kurundikana sehemu moja na wengine kuanza kujificha nyuma ya wenzao bila kukiletea chama matunda na badala yake kugeuka wapikamajungu wa ki-aina kwenye vyombo vya habari.
Pindi uonapo watu kama Mzee Shibuda wakipiga kelele zisizo na manufaa kwa mtu yeyote kichama basi tayari ujue kwamba ndani ya CDM kuna kundi fulani la FREE-RIDDERS (Wazembe) wasiofanya kazi za kichama na badala yake wao kugeuka MA-DEBE MATUPU kutoa sauti kubwa zidi wakati kila mbunge na makada mbalimbali chamani wako bize kweli kweli kuendelea kukijengea zaidi CHADEMA mtandandao mzito mashinani kote nchini ila wao lao ni kusubiri tu kujitangazia kuja kuvuna faida za juhudi za wenzake kwa KUTUMIA MTANDAO WA CDM kumnufaisha binafsi KUGOMBEA KITI CHA URAIS.
Watu kama hawa lazima tuwe nao ndani ya chama wala msiwachukie kitu bali dawa kubwa kwao ni KUWAPUUZA HUKU TUKAWANYUNYIZIA 'DAWA YA MCHWA' wa kuwaondoa SUMU YA MAGAMBA ili wabakie tu kuwa GWANDA SALAMA siku zote kwa Maslahi ya Umma wa Tanzania.
Kila kiongozi ndani ya BAVICHA na BAWACHA, mkae mkijua kwamba wananchi hivi karibuni tutaanza kuwadai mtueleze kwamba vyeo tulivyowapeni mmeweza kuvitumia vema kiasi gani kwa faida ya chama kuingiza idadi gani ya wanachama wapi na kwamba kamwe hatutowaulizeni kwamba katika kipindi chote cha uongozi wenu ULIONGEA MARA NGAPI na vyombo vya habari
[Viongozi wa CDM sasa nendeni kusini - Lindi na Mtwara fungueni matawi mengi iwezekanavyo, Nakuhakikishia tukishateka huko kusini noko basi tumemaliza T2015CDM itafunika. Kusini CDM inakubalika sana. CUF walishapoteza mwelekeo baada ya ile ndoa waliyofunga - Peopleeeeeeeeeeeeeeeeez - Power!!!! Amandla!! - Ngawethu!!!]
Kwahiyo hayo yana uhusiano gani na shughuli za kimaendeleo hapo Same?msengo2012,
Wapare tungeukubali upinzani kama mwaka 95 Mrema asingefanya upuuzi wa kutoa kauli za kutudhalilisha. Mrema alipoingia tu Same alitoa kauli za dharau kwa wananchi na baada ya hapo wananchi wakawa wanasusia mikutano yake na yeye akaamua kukitoa. mabadiliko siyo katika siasa tu, lakini hata katika nyanja hiyo Wapare tumekuwa tukiwabadilisha wabunge wetu mara kwa mara. Pia tumekuwa kati ya maeneo machache nchi kuchagua wabunge wanawake. Tulianza na Gladness Mziray kwa upande wa Same Magharibi mwaka 95, na mwaka 2005 akachaguliwa Anna Kilango upande wa mashariki.