Vua gamba vaa gwanda: Heche aisambaratisha ngome ya Kilango Same

Shibuda anawatoa povu......mpaka mwaka uishe hakuta atakayekuwa amesalia
Nani anatoa povu kama si nyie na vigazeti vyenu... story yenyewe imeshajifia... Siku hizi mmekosa mbinu za kukitangaza chama chenu mmebaki kutegemea vidili mfu kama hivi vya kina Shibuda, badala ya kuimarisha chama chenu mnasubiri eti CDM kisambaratike kama babu yako Wassira anavyosubiri. Mtasubiri sana.
 
Hii inaonyesha ccm haipendwi tena, slowly but surely, "the noose around people's necks is loosening"

Kama hii ni upareni, ccm's days are definetly numbered.
Exactly dude!

CHADEMA KAMA CHELSEA!

attachment.php

Hii inaitwa kutoka moyoni.
 
Kuna watu wanafanya kazi nzuri sana halafu wanakuja wapuuzi kujifanya ni mabingwa wa kutoa "matamko". Mbona kwenye hizi harakati hatuwaoni?

Misukule ya sisiemu hiyo kaka we ipotezee siye aluta continua M4C vua gamba vaa gwanda
 
Isitoshe huyu chida haji kufanikiwa kwa chochote! kwanza angezingatia Heche ameanzia wapi mpaka akawa na uwezo wa kutoa tamko kisha angejilinganisha halafu aone inafaa au laah Eti Shonza! usipojirekebisha utashonza sana pusi wee! hatuko tayari kuwanya mipaka kama wewe mnatulididsha nyuma alah!! adui yetu ni mmoja na si matamko! boss wako akitamka hata kama kakosea ili mradi tu adui kagiswa wewe funga sehemu ya katikati ya ****!
 
Kuna watu wanafanya kazi nzuri sana halafu wanakuja wapuuzi kujifanya ni mabingwa wa kutoa "matamko". Mbona kwenye hizi harakati hatuwaoni?

Walaaniwe wote wenye jitihada za kuichafua kazi nzuri inayofanywa na M/kiti BAVICHA....JOHN HECHE...!!!1
 
Isitoshe huyu chida haji kufanikiwa kwa chochote! kwanza angezingatia Heche ameanzia wapi mpaka akawa na uwezo wa kutoa tamko kisha angejilinganisha halafu aone inafaa au laah Eti Shonza! usipojirekebisha utashonza sana pusi wee! hatuko tayari kuwanya mipaka kama wewe mnatulididsha nyuma alah!! adui yetu ni mmoja na si matamko! boss wako akitamka hata kama kakosea ili mradi tu adui kagiswa wewe funga sehemu ya katikati ya ****!

Kweli kabisa, tena afunge, sana na akaze hasa...shenzi zake...!!!!
 
mnyonge siku akiamua kudai haki yake utatafuta pa kukimbilia,viva vijana komboeni nchi yetu toka kwa wakoloni weusi
 
Shibuda anawatoa povu......mpaka mwaka uishe hakuta atakayekuwa amesalia
shibuda ma#t#ako mwenzio tunamwacha mataa 2015 hiki kimya kingi hukionacho subiri mshindo wake masaburi wewe jiulize jinsi mlivyoangaika kumtuia zito mpaka sasa mumenufaikaje na huo mradi?shibuda nibonge la pimbi na ccm akili zenu zipo kwenye masaburi mnaona mipasho na majungu yakle aliyo leta chadema yatafanikiwa!mbele ya wanaume!kweli we lusinde nakuona jinsi mimavi ilivyokujaa kichwani.nendeni kkuzimu kwa baba yenu
 
ebanaee, This is very incouraging!! hii isidisaract consentration yetu, tusishangilie sana kuona watu wakuhamasika, wajhitaji kulelewa... tusije kushangaa ifikapo mwaka 2015, walishashasahau kama waliwahi kuhudhuria mkutano wa CDM, kwa hiyo... follow up ni muhimu sana!
 
Heche Mungu akubariki na ampishe mbali Shibuda na huyo makamu wako
 
huyu dogo heche lait kama angekuwa anapata wasaa wa kiuchumi barabara angekuwa kazindua sana watanzania chonde chonde chama chetu tukipendacho mtumieni huyu dogo vyema hawa akina matamko ya hotelini ndio tumegundua wanaomyumbisha viva kamanda heche kazi yako huku lindi twkungojea sasa
 
Back
Top Bottom