VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

Ngarna na Freeland ndio mpira ulivyo, kuna wakati nanyi mlipitia kipindi kama hiki.
Sisi tutajipanga na tutarudi sawa. Hongereni
 
Last edited by a moderator:
"Mastraika Yanga butu"

Source: Bin Zubery
 
We muhudumu uliyovaa skin jeans ya kijani na tisheti ya njano, hebu mpelekee comradi bin zubeiry heineken 5 mi niongezee bapa nyingine.
 
Ngarna na Freeland ndio mpira ulivyo, kuna wakati nanyi mlipitia kipindi kama hiki.
Sisi tutajipanga na tutarudi sawa. Hongereni

Sikuelewi kipindi kipi?At last mmeanza kuonyesha heshima kwani mlishasahau kwamba mpira una matokeo matatu kushinda,kutoka sare na kufungwa.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada uwe unaweka updates kwenye post yako unatusumbua. Haya naombeni matokeo yote ya leo
 
Ngarna na Freeland ndio mpira ulivyo, kuna wakati nanyi mlipitia kipindi kama hiki.
Sisi tutajipanga na tutarudi sawa. Hongereni

hapo sawaaaa ila swali langu kipa Wa ruvu shooting hakuweka uchawi golini? mbona msuva kakosa magoli ya waziii
 
Last edited by a moderator:
Leo Ruvu walikuwa na glove invisible inabidi utafute kamera maalum za usiku.
 
Hao wamechukua galasa letu Amisi Tambwe, sasa watatoa sare mechi zote ili wajifunze.
Kaseja hakuwapa somo wamerudia makosa yaleyale. Sasa kwa taarifa yenu Yanga, Tambwe bado anaipenda Simba ingawa Simba hatumtaki hivyo ametuahidi kufanya kila anachoweza ili Yanga nayo itoe sare 6 mfululizo, hii ya leo ya kwanza bado 5.
 
Ngarna na Freeland ndio mpira ulivyo, kuna wakati nanyi mlipitia kipindi kama hiki.
Sisi tutajipanga na tutarudi sawa. Hongereni

Mtajipanga ligi ikiisha kwa sasa tuachieni wenye uwezo wapite, hata Zanzibar mliishia kuwa watazamaji tumewazoea. Mpira wenu kwenye magazeti uwanjani sifuri.
 
Last edited by a moderator:
hapo sawaaaa ila swali langu kipa Wa ruvu shooting hakuweka uchawi golini? mbona msuva kakosa magoli ya waziii

Kosa la kocha wake hakumfundisha jinsi ya kumalizia...alimfundisha kutoka mbio kuelekea golini na kushuti tu eti mpira unaweza kumgonga mtu ukaingia nyavuni.
 
We muhudumu uliyovaa skin jeans ya kijani na tisheti ya njano, hebu mpelekee comradi bin zubeiry heineken 5 mi niongezee bapa nyingine.

Mwambie kabla hajaondoka kuelekea kaunta apitie hapa akiwa na mtu wa jikoni.
Leo wazee wa vikombe vyenye fwedha tupo hapa mpaka asubuhi, sherehe za Mapinduzi zinegongana na za Nangwanda stadium.
Teheteheteheeeeee
 
Back
Top Bottom