grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
bundi wa ukawa ahamia jangwani
Kazi ya magalasa tuliyoacha Simba hiyo...hahahahaaaaaa
bundi wa ukawa ahamia jangwani
Ndanda bado haichezi mpira wa kuridhisha, hawachezi kitimu kabisa.
ndanda watashuka pambaff watafungwaje na mikia
mnaunda lini Yanga UKAWA?
Mwambie kabla hajaondoka kuelekea kaunta apitie hapa akiwa na mtu wa jikoni.
Leo wazee wa vikombe vyenye fwedha tupo hapa mpaka asubuhi, sherehe za Mapinduzi zinegongana na za Nangwanda stadium.
Teheteheteheeeeee
Kwa mara ya kwanza namuona Makoye Matale anachungulia jukwaani then anasepa zake bila kuandika chochote. Tafadhali Makoye Matale jitokeze tukuone
magazeti ya kesho:
Yanga yatoka sare kwa mbinde sana
Yanga kwa sababu ya uchovu yatoka sare
Ruvu Shooting Yatumia uchawi kuikosesha yanga ushind
Yanga yatoka sare kibabe
Wachezaji Yanga walia na Refarii
Wachezaji Yanga walia na uwanja mbovu
Yanga washambuliaji wake washangazwa na ukosaji huu wa mabao.
Yanga hawakuweza kununua hii mechi wenye team waligoma so imechezwa uwanjan kiukweliukweli... na haikuwa imechezwa nje ya uwanja kabla kama kawaida ya Kanjubai.
namtaka Bantu Lady hapa maana huwa anakawaida ya kutoka jikoni kuja kuongea wanapoongea wanaume. sasa naona kaenda chumban.

huyu atakuwa shabiki mandazi
Makoye Matale jana alizimia, bado yupo kwenye dozi la dripKwa mara ya kwanza namuona Makoye Matale anachungulia jukwaani then anasepa zake bila kuandika chochote. Tafadhali Makoye Matale jitokeze tukuone
Hahaha.. huo mzigo ondoka nao tu.. ila kesho nitakua na mazungumzo nao.
Mwaka huu either simba au ndala watashuka daraja.
Mkuu hongera kwa ushindi mwembamba jana.. Naona mmeanza kula faida kwa domayo kama si tunavokula kwa dany ssenkuma.