grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Ila timu inazingua game zaidi ya 5 tunashinda goli moja
Baada ya hapo itaanza sare kama Yanga....
Ila timu inazingua game zaidi ya 5 tunashinda goli moja
Taulo lisiloonekana laikosesha dar es salamaaa Young Afrika ushindi. Yaahidi kumalizia hasira mechi ijayo.
Mwaka huu either simba au ndala watashuka daraja.
Makoye Matale jana alizimia, bado yupo kwenye dozi la drip
Mkuu sikuzimia mie eti! Nilikuwa madhabahuni maana imeandikwa: 'Ikumbuke siku ya sabato uitakase...' Kutoka 20:8. Basi imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu, Waebrania 4:9. Soma pia Isaya 66:22 na 23.
Hongereni mikia kwa ushindi wa kubahatisha.
Wanayanga msikate tamaa, timu yetu ni nzuri sana, jana tulikamiwa tu, tutawachapa vilivyo katika mechi zijazo.
ameeeen

bado unajifariji hahaha.mwanaume karudi kwenye nafasi yake.simba ndie bingwa mwaka huu
Mkuu sikuzimia mie eti! Nilikuwa madhabahuni maana imeandikwa: 'Ikumbuke siku ya sabato uitakase...' Kutoka 20:8. Basi imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu, Waebrania 4:9. Soma pia Isaya 66:22 na 23.
Hongereni mikia kwa ushindi wa kubahatisha.
Wanayanga msikate tamaa, timu yetu ni nzuri sana, jana tulikamiwa tu, tutawachapa vilivyo katika mechi zijazo.
Hahahaaa! Makoye Matale umefanya vzuri kuonekana jukwaani, lakini ungetumbukia jana ingekuwa vzuri zaidi. Je unataka kutuambia kila Jmosi jioni utakuwa huonekani jukwaani kwa 7bu ya SABATO au ni kwa jana TU?

Hana lolote huyo, Sabato mwisho saa 12 jioni. Mechi zilimalizika saa 12 jioni watu tukaanza kujimwayamwaya humu, yeye alikuwa wapi kama sio uongo.
Sabato gani upo nyumbani ushindwe hata kuperuzi habari JF, basi hata kutawaza hawatawazi wakienda haja kubwa au ndogo maana nayo inatumia vidole pia.
Sunderland wenzangu baada ya Ndanda kuchele nani tena anafuata kunyolewa? Treni ishashika kasi nani wakuizuia! VIVA SSC.
Sasa tunaitafuta shingo ya Mgambo JKT kiboko ya Yanga
lakini kabla ya hao tutapumzika Dsm kwanza kuikaribisha buchani Mbeya City.Nawaonea Huruma sana Mgambo JKT.
lakini kabla ya hao tutapumzika Dsm kwanza kuikaribisha buchani Mbeya City.
Mechi inayokuja si tuacheza na Azam?
Mkuu TFF wamerekebisha ratiba tena?