Hili suala la mlima Kilimanjaro limeendeshwa kitapeli zaidi. Kwanza watu tunaambiwa tuupigie mlima kura bila kuelimishwa ni kwa nini tunafikiri unapaswa kuwamo katika maajabu 7. Pili, sh. 300 zinazokatwa zinaenda kwa nani na kwa nini zinakatwa kimyakimya? Na je, hawajui kwa kutoza hela wanapunguza kura?