Voodoo Africa, Tanzania tumeachwa mbali sana

Tolii tuu hizo Zaire ilienda na waganga wengi kombe la Dunia kuliko mashabiki uwanjani sikumbuki mwaka gani ila kuna gemu walipigwa 9-0 na waganga wao wakiwa jukwaani..
Teh teh teh eti waganga wengi kuliliko mashabiki,dah!
 
Tunatajwa kila mara kukamata namba kwenye ishu za uchawi ushirikina na mambo ya giza lakini ukweli ni kwamba sisi bado saana, kilichotupaisha ni ishu za albino tuu
Hebu furahisha macho na hizi uone kama Tanzania tunazo
9c4bf484e8a3fc3f21bf4c3c4b22930b.jpg
hawa ndio mabingwa
22de23efdcbf56ee0afafecc8311642b.jpg
huyu mashetani tayari yameshampanda
IMG
watu kazini
5eba0f87257123513a25111585072664.jpg
a476484da74489201143f82bf743b81f.jpg
abedccdb7a3c6b1285233d56d5e3a1b9.jpg
1db400a76a85279fe522d247efb4b8f0.jpg
Ndugu yangu sisi tuko juu mno, TZ, Kwa ufundi hana mshindani hata hao wamagharibi wanakiri, issue ni kwamba, sisi hili jambo linaonekana kama ni ujinga hivyo linafanyika kwa siri mno, yaani mtu akienda kwa mganga ananyata hataki hata kivuli chake kijue, ila hawa wenzetu hii ni part ya maisha yao ya kila siku, wala hamna mtu anayejali kama unafanya kafara lako popote pale, wewe bado hujatembembea huko Tanzania, Ukajionea mambo.
 
Uchawi una branches nyingi.Takwimu zako hazionyeshi Tanzania iko nyuma kwenye BRANCH IPI YA UCHAWI.

Kwa taarifa yako TAnzania ni ya kwanza Afrika kwenye branch ya uchawi wa mambo ya utawala.Hizo nchi zingine zimebobea kwenye uchawi wa kukabana usiku na kuwangiana ndio maana hazina amani wala utulivu ,huwa mapinduzi kila wakati yanafanyika nchi hizo sababu uchawi wa utawala hawana.
 
Subiri nimwiite Baba Majaliwa........Nimeona pembe ya Faru John kwenye hii picha.
 
Mshana Jr nafika sehem nashindwa kukuelewa, why do you keep on following up this spiritual things? There must be an evil spirit behind it

no no no no nooooo.....we have to learn all this things..........vipo sana tu.....
 
Tolii tuu hizo Zaire ilienda na waganga wengi kombe la Dunia kuliko mashabiki uwanjani sikumbuki mwaka gani ila kuna gemu walipigwa 9-0 na waganga wao wakiwa jukwaani..
Mkuu ilikuwa mwaka 1974 kombe la dunia lililofanya West Germany.

Zaire chini ya Mobutu Seseko wakiwa wawakilishi wa Afrika walipangwa kundi moja na Brazil, Yugoslavia na Scotland.

Game ya kwanza Zaire walipigwa na Yugoslavia 9-0,
Wakapigwa na Scotland 2-0, halafu wakapigwa na Brazil 3-0.

Mobutu aliwapongeza sana waganga wake baada ya mechi dhidi ya Brazili kwani aliamini kutoka kupigwa 9 na Yugoslavia hadi tatu na Brazili ni maendeleo makubwa.
 
Ndugu yangu sisi tuko juu mno, TZ, Kwa ufundi hana mshindani hata hao wamagharibi wanakiri, issue ni kwamba, sisi hili jambo linaonekana kama ni ujinga hivyo linafanyika kwa siri mno, yaani mtu akienda kwa mganga ananyata hataki hata kivuli chake kijue, ila hawa wenzetu hii ni part ya maisha yao ya kila siku, wala hamna mtu anayejali kama unafanya kafara lako popote pale, wewe bado hujatembembea huko Tanzania, Ukajionea mambo.
 
Uchawi una branches nyingi.Takwimu zako hazionyeshi Tanzania iko nyuma kwenye BRANCH IPI YA UCHAWI.

Kwa taarifa yako TAnzania ni ya kwanza Afrika kwenye branch ya uchawi wa mambo ya utawala.Hizo nchi zingine zimebobea kwenye uchawi wa kukabana usiku na kuwangiana ndio maana hazina amani wala utulivu ,huwa mapinduzi kila wakati yanafanyika nchi hizo sababu uchawi wa utawala hawana.
Umenifumbua macho. ....ni ya Kwanza kiuchawi kwenye mambo ya utawala. ..kumbe ndio maana ccm.
 
Back
Top Bottom