voluntarily BAN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

voluntarily BAN

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Mar 18, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hello JF,

  kufuatia kugundua kuwa kuna watu hawawezi kukaa mbali na jf, na pia wakiwa na shughuli za msingi wakti mwingine zaweza simama kisa JF. sasa naomba kuwasilisha hoja hii kwa nini kusiwe na voluntarily short time BAN, ili mtu ashindwe ku-access rights za umemba wa jf. yaani kwa mfano ukiclick hiyo voluntarily ban saa 2 asubuhi basi unakuwa huru saa 11 jioni, ama kuna kuwa na BAN za masaa maalum ili kuwasaidia hawa walevi wa jF

  Nawasilisha
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mtanisaidia sana, nataka kuwa jf addict sijui kwa nini.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaa dogo imekula kwako....
  Ukiliwa memo kwa kutowajibika vema akili yako itakaa sawa tu bila hata hii bann unaoitaka....
  Fanya kazi then ukiwa na nafasi chungulia kidogo....
  Kwani hujagundua kuwa kuna watu huwa hawaonekani hata siku 2 au 3 JF then wanaibuka tena?
  Piga kazi JF ipo tu.....
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ukipigwa ndogo huwa haifunguki kirahisi
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  uwe jf addict mara ngapi kongosho eh?
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa
  Memo......Lol
  Kula vichwa na naomba uanze na huyu dogo....
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lol
  wako wengi sana....
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mimi nikosapo jf najihic homa full mwili kutetemeka sasa ikipitishwa hiyo sijui itakuwaje
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  tuungane kuwapigia kelele mods waliweke hilo
   
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hata mimi naweza kaa hata wiki nzima bila JF, but the case ni kuwa nimewhai ku-experience addiction hiyo so nafikiria bora kuwe na hako ka-voluntary Ban.... i hope katasaidia sana!
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa mtaambulia bann za usumbufu....
  Kwanza nawashauri wawagonge bann wale wote wanaowaletea wenzao majungu....hope wataanza na wewe
   
 12. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  sasa si nisystem ya kucheza na muda tuu..... i mean inakuwa automatic kwa masaa fulani tu.

  we! mie simo jaribu kufuatilia vizuri muda wangu...... bahaati yako silijui jina la Bosi wako
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kwani unadhani wakikaweka mtakagonga?
  Mtajifana hamkaoni.....
  Teh hivi unaijua JF au?
  Hii kitu kuachana nao ngumu....we jicontrol tu....
   
 14. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  je hujisikia hivyo hivyo ukikosa kazini wiki nzima?
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dawa ni kununua simu za nokia Kitochi.....hakina internet so utajicontrol
   
 16. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hah! nimemsumbua nani? Hii ni ku-prove how great thinkers we are!! not majungu here... i guess that is the problem with many Tanzania when it happens they are being criticized they take it personally!! sijui niku-report abuse!?!?.... ngoja niendeleee kukufikiria
   
 17. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ah ha ha ha ah watest waone.... ni moja ya trick nzuri za kujicontrol
   
 18. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mh! kwani hujui kuwa wengi wanatumia PC za maofisi, vyuo na cafe? hapo bado
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Usumbufu kwa Mods kuandamana kutaka hiyo module mpya......
  Abuse gani we dogo?
  Teh
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah ila kwa asilimia fulani hata mimi imenipunguzia ufanisi ila naitafutia namna nzuri
   
Loading...