voluntarily BAN

Hivi mtu kama una kazi zako muhimu kweli utaacha kufanya uanze kuperuzi jf? Acheni masihara.

that is what is called addiction, it comes as a bitter truth or as sweet pain, unaenjoy JF huku kazi zinalala!! I mean unafurahia JF huku unaumia kwa kulaza kazi!
 
Hizi cku mbili tatu zilizopita mkonga wao wa fiber optic ulivyokuwa umezingua aiiiseee nlihisi kama nimefungiwa mlango wa peponi vile..
I can't pass a day bila kushinda humu JF..

kumbe na wewe voluntary BAn inakuhusu?
 
Back
Top Bottom