zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Hapo kwenye red, shida uliyonayo ni kwamba mtu akikupa simu au kitu kingine chochote under the cover of 'promtion' utachukulia hivyo hivyo! Huu ni uvivu wa kufikiri. Unatakiwa kupanua your thinking na kujiuliza the reason behind hicho ulichopewa na uridhike kweli ni promotion and no other interior motives behind.
Sijui umefuatilia kwa kiasi gani mambo ya telecom. Hizo pikipiki, magari, simu wanazotoa hao unaowatetea wao wanahesabu kama sehemu ya kodi! Really, zomba, akili za mbayuwayu ni lazima uchanganye na zako otherwise utaendele kutetea mambo kwa hizi definations za 1st year. Na ndio sababu nilikuuliza 'promotion' inaweza kuwa rushwa, na wewe ukajibu hapana!
Ni wazi huelewi uwepo wa 'fine line' between promotion, lobbying na rushwa and unless ujifunze na uelewe haya mambo utaendelea kutetea mambo kwa hoja za reja reja.
Kuhusu kazi za kamati ya miundo mbinu, kama unaamini sio chochote si lolote, basi niambie ni kwanini Vodacom waende all the way to Dodoma kukutana nao na sio kamati nyingine? Why this committee? Kuna nini special? Promotion? You dont need to be a brain surgen kujua this is beyond promotion.
Tatizo lako ni kuwa upo brainwashed katika biashara ambazo si za kishindani, sasa hivi biashara ni za kishindani wana masoko huwa na mbinu tofauti.
Kumbuka, "targeted marketing" hufanywa pale unapojuwa kuna impact kubwa ya kuwezesha biashara yako kupata "coverage ya kutosha" kwa sasa macho yoote yapo bungeni, hapo inabidi niwape heko wana masoko wa vodacom, wamelenga kweli na mpaka sasa tunazidi kuwapa "promotion" walioikusudia.
Kumbuka, hata vitambulisho vipya wameanza kwa kuwafata wabunge hukohuko mjengoni, kwanini? hiyo pia ni "directional promotion" wanajuwa pale watapata "coverage" kubwa kwa sasa.
Biashara za sasa si kama za wakati wa Nyerere ambapo kila kitu kilikuwa mali ya umma (monopoly) na hauna choice wala hauna ubunifu wa kutafuta masoko. Sasa hivi tumeingia kwenye mfumo wa biashara huru na ya ushindani mkubwa sana hususan kwenye hii biashara ya mawasiliano na anaeweza kuwa mbunifu na ku "capitalize" masoko ndiye anaekuwa kidedea. Na ubunifu tu hapa waliuonesha voda, simu kidogo sana za bure (kamati ya miundo mbinu haizidi watu ishirini, tena hapo nime exaggerate) lakini impact yake kwenye soko ni kubwa sana.
Mpaka sasa hujaleta ushahidi wowote kuwa hiyo ni rushwa. Kama ni mahakamani, kesi yako imeshatupiliwa mbali na hakimu na unalipa na gharama za kesi na unalipa uchafuzi wa jina la kampuni.
Kumbuka ukimtuhumu mtu ni wewe unaetakiwa kuleta ushahidi wa wazi kabisa na si uliemtuhumu. Hapa naona huna ushahidi na unajaribu kuwa mpaka matope. Kila unachokisema ni "hypothesis" hauna "solid evidence" kuwa hiyo ni rushwa.