Vodacom yahonga Wabunge Blackberry

Donge tu hamna lolote mnowaonea gere kwa kupata blackberryyyyyyyyy mxcuuuuuu!!
 
zomba, ina maana kati ya wabunge wote only kamati ya miundo mbinu na Spika ndio wamejiunga na 'post paid' services?

Hiyo ndio niliyokwambia "targeted marketing", wakati una budget ya "promotion" ya kiasi fulani ambayo haitoshi kwa bunge zima, una prioritize target yako na unaifanya kuwa ni "directional promotion", na kuna vigezo vingi, kwa sasa wameona target nzuri ni hiyo.

Hiyo si rushwa hata kidogo. Hiyo ni pure promotion. Ni kama vile wauza Beer za Serengeti au Kilimanjaro wanapochaguwa bar fulani wakafanye promotion na kugawa vinywaji vya bure, kwanini hawagawi bar zote? Hiyo ni "directional promotion".
 
targeted marketing inaweza kuwa bribery?
 
Basically Hawa Voda through M pesa Wamepora Kabisa Kazi za mabenk ambao wengi ni walipa Kodi!! Mbaya zaidi hawa mabwana Hawalipi Kabisa Kodi Kwenye Hiyo Biashara!! Hawa Watunga Budget wamekaa tu hawaoni hata Hiyo ni big source ya Mapato / Kodi!! Tangu lini mlipakodi halali anakwenda Bungeni Kuwapooza Wabunge?? Hapa Ujue Kuna Wizi mkubwa sana!! Mbona sijawaona Airtel wala TBL Wakijipendekeza Bungeni ili hali ni walipakodi Wakubwa!! Shame on this people!! Wanatoa Vinawati Hamsini na kukwepa kodi ya Mabilioni!!

Hapa naomba nitofautiane na wewe mkuu. Haya mabenk walikuwa wamezoea kutunyanyasa na huduma zao mbovu na miETM yao mibovu!! sasa zimekuja hizi MPESA nk zimetuaidia sana, mi nina mwaka sasa sijatinga bank wala kwny mietm yao. Biashara namlizia MPESA kwa raha zangu. Naomba Mungu biashara ya MPESA et al iendelee kushamiri ili hiyo mibenk (hasa CRDB) izidi kupoteza wateja. Hata kama hawalipi kodi haina noma as long as wameturahisishia njia za kumove pesa zetu, kwani hata hizo kodi hazitufikii zinaishia huko huko juu kwa mafisadi!
 
ni kweli hao ni wezi wakubwa!tungekuwa wachina tungewapiga risasi!very ignorant people!shame upon them.
 
FJM, naona unahangaika kumuelewesha zomba.
Kwa study yangu kwenye hii thread, huyu Mkuu ni mwajiriwa wa Voda, ama mbunge aliyefaidika. Ndo maana anatetea kwa nguvu kweli. S/he calls it "poromosheni" for a reason.
 
Last edited by a moderator:
Vodacom hata mimi wananipa simu mpya kila mwaka mwaka wa nne huu, kwa sasa ni BB ya tatu na kila wakinipa simu mpya wananipa na maongezi ya bure. Kwa kuwa ni mteja wao mzuri na hawataki nihame.

Dunia zingine sasa hivi simu ni bure bora utumie mtandao wao tu, kwa sasa hapa kwetu zinakwenda kwa "targeted market" lakini itafika huko kwa bure kwa wote ushindani ukizidi. Biashara ni matangazo, ujuwe hizo zinatoka kwenye bajeti yao ya matangazo, hiyo inaitwa "directional promotion" na si hongo hilo.

Wadanganye wasiojua wewe, na ushindwe na ulegee
 
FJM, naona unahangaika kumuelewesha zomba.
Kwa study yangu kwenye hii thread, huyu Mkuu ni mwajiriwa wa Voda, ama mbunge aliyefaidika. Ndo maana anatetea kwa nguvu kweli. S/he calls it "poromosheni" for a reason.

Ndio maana nilimtaka aeleze tofauti kati ya rushwa & promotion. But so far naona analeta ngonjera.
 
ngoja niwai voda shop mapema nikanunue blackberry mapema kabla zote hazijapewa wabunge coz nimesikia wizara ya nishati na madini nao wanadai wapewe blackberry na voda
 
Ndio maana nilimtaka aeleze tofauti kati ya rushwa & promotion. But so far naona analeta ngonjera.

Nimekufahamisha vizuri sana huko juu, tena kwa kukutolea mpaka mfano wa Serengeti na Kilimanjaro, lakini watu wengine si tunajuwa, shule mnabebwa na NECTA 83/17, hata uwe na PhD unakuwa huna uelewa.
 
Back
Top Bottom