zomba
1. Nimekuuliza huko juu kwanini ufikirie kuwa kamati ya miundo mbinu ihongwe na vodacom? ili iweje? huwezi kukurupuka hiyo ni rushwa kama huwezi kusema ni rushwa kwa ajili gani au ili iweje? huna!
Niruhusu niseme hivi; uko very naive! Vodacom wana wateja zaidi ya 10 million. Airtel wana wateja nusu ya Vodocom. Kwenye list ya top 15 tax payers Vodacom hawapo lakini Airtel wenye wateja nusu ya Vodacom wapo! Kamati ya miundo mbinu ndiyo inasimamia telecom sector. But let me also tell you this, week chache zilizopota Naibu waziri wa Science & Technology January Makamba alisema ana reliable information toka TRCA kwamba makampuni ya simu yanadanganya kuhusu mapato yao na hivyo kukwepa kodi.
2. hata mimi napewa simu moja kila mwaka na huu ni mwaka wa tatu wananibadilishia BB, ya kwanza 9600, ya pili 9700, ya tatu 9900 zote hizo BOLD kabla ya hapo walishanipa Samsumg (miaka minne iliyopita) na si mimi pekee, ofisini kwangu nna wasaidizi wangu wanne na wote wanapewa BB, jumla tunaletewa BB tano kila mwaka. Mimi sipo kwenye kamati ya miundo mbinu wala bungeni wala Serikalini, ni mkulima tu wa kawaida na biashara zingine ni "consultant" Jee, na mimi wananipa rushwa?
Hawakupi rushwa, hiyo inaitwa 'reward for loyalty = loyaly scheme. Mtindo wa loyalty unatumia sana ili kusaidia 'repeat purchase'. Kumbuka gharama za kumpata mteja mpya mara nyingi huwa juu kuliko za ku-maintain. So loyalty scheme (if you like direct promotion) is one way of staying close to your customers.
3. Hao voda wanafanya kitu inaitwa "directional promotion" sina uhakika kama unazijuwa hizi "terminology" za Sales and Marketing, zipo "a bit advanced" kwako, kwa maneno haya tu "targeted marketing" na "directional promotion" kwa muelewa wa hizo "terminology" angekwisha nielewa.
I am not illiterate, nafahamu hizo terms perfectly na hakuna cha ajabu kabisa. Nilitaka unipe meaning yenye uhalisia badala ya hizi description za 1st year. Pamoja na kuunga-unga kwako kuna kitu umesahau, kinaitwa - lobbying!. Kamati ya miundo mbinu hawako bungeni kulima mboga mboga, they are there to make laws na kuhoji utendaji wa serikali pamoja na taasisi zake including those kwenye telecom sector.