Vodacom wananilaza giza

Vodacom wananilaza giza

Habari waungwana,

Nimenunua Umeme wa efu nane Kwa njia Ya M-pesa, baada Ya muda wakaniambia kuna tatizo LA mtandao, nikawapigia simu wanirudishie hela yangu,wakasema nisubiri nitatumiwa umeme au hela, mpaka muda huu kiza kimeingia muda wakwenda kulala umewadia, hawajatuma umeme wala pesa yangu japo ninunue kwa njia nyingine,,
.huu ni ukatili kwakweli, kahela kenyewe ndio akoako, nalala giza, lol, siturudia tena kununua Kwa njia ya Simu Umeme

kuna msemo unasema pesa ikishakuwa mikononi mwa watu sio yako mfano benk,hizo simu bank.hakikisha hunakuwa na akiba mkononi.unaweza kuaibika
 
Jana jioni luku ilikua inasumbua sana..hata tigo nao walikua wanarudisha pesa..nafikiri TANESCO ndo kulikua tatizo
Sure mimi nilinunua mara ya kwanza kwa tigopesa haikukubali baada ya muda kidogo wakarudisha hela, nikakaa baada kama ya dk 20 nikanunua tena ukakubali nikaweka kwa mita yangu. Alafu tigopesa wanarudisha hadi ile service charge waliyokata yaani kama hukugusa account yake vile
 
Tigo kwenye ili wanajitaidi Sana, mi leo nilijisahau tu
 
Habari waungwana,

Nimenunua Umeme wa efu nane Kwa njia Ya M-pesa, baada Ya muda wakaniambia kuna tatizo LA mtandao, nikawapigia simu wanirudishie hela yangu,wakasema nisubiri nitatumiwa umeme au hela, mpaka muda huu kiza kimeingia muda wakwenda kulala umewadia, hawajatuma umeme wala pesa yangu japo ninunue kwa njia nyingine,,
.huu ni ukatili kwakweli, kahela kenyewe ndio akoako, nalala giza, lol, siturudia tena kununua Kwa njia ya Simu Umeme
Pole sana bibie

Smart guy
 
Back
Top Bottom