Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

kizomanizo

Member
Joined
Jan 26, 2010
Posts
71
Reaction score
21
Leo baada ya kujaribu kununua kifurushi hiki ili kuendeleza uharamia wa hiari, nimekutana na meseji inayosema kwamba kifurushi hiki kinakupa 1GB kuanzia saa nne usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi. Bye Bye uTorrent.:teeth:

Meseji husika:

"Congratulations!You can now use internet up to 1GB from 10pm to 6am for 1 day after which usage will be charged at standard tariff. Vodacom Power to You!"
 
Yaani hawa watu wameamua kukaba kila sehemu!!!!kila unapokimbilia ni kipigo tu mwishowe una lala chali!!!UKIONA PAKA KALALA CHALI JIANDAYE.....
 
Duh!..
Voda naona wameamua kuua kikwelikweli sasa hivi!..
Hakuna kujiachia tena.
Kweli kazi ni kwako!..
 
Mm yaani sijui maeneo ninako ishi MABUNDI ni wengi yaani mm huwa nikijaribu kununua lets say kwenye simu yangu naishiaga kujuta kabisa
Yaani hata kufungua paage no....page zinaweza zianze kufunguka saa sita kudownload ndo majanga kabisa mpakahuwa sielewi kwa kweli....Hivo hiii safari nilisema BYE BYE
 
hawa jamaa wanaona tunafaidiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!! mwanzo ilikuwa sh200/= unlimitedwakaongeza 500/= unliomitedfrm saa4 to 12asbh nao 1gb.limited nyie acheni mlifikiri mkiweka usiku atu watakuwa achache?
 
basi tena mi ntabaki na university promo..500mb, dk 50 sms 500. kuliko kujiunga usiku kwa hio gb 1 wameniuzi kinoma aisee
 
yani imefika sita unusu naona msg eti kifurushi kwishney. daah ndoa na voda inayumba
 
kwa kwel kama mwendo ndio huo m voda basi tena bora university promo tu hapa wakti naendelea kujipa moyo mkonga utanifikia tu siku flani
 
Mi ndoa na voda tushapeana taraka kitambo kitambo, wanakera sana hawa watu!
 
Airtel wanatoa 100MB
.
Kuanzia saa 6
.
Voda ndo wanaangamia tena
.
 
Congratulations!You can now use internet up to 1GB from 10pm to 6am for 1 day after which usage will be charged at standard tariff. Vodacom Power to You!

yep kitu kimenuka, angalau nilikuwa sina salio maana ingekuwa hasara.
 
Nchiii.....hii.....mlizani umeme tu ndo utapanda......na bado......!!! .Hivi kwa akili zenu hamjui kuwa jioni ndo inakaribia kuingia sasa hivi? baada ya 2015 unafikiri tutakuwepo tena...hata Mwigulu Nchemba mwenyewe anafurahi kuwa naibu waziri ila anajua hana mfa mrefu kwenye kiti pale.Ko kilichobaki ni kutumia mda huo kula ki kweli kweli yaah....hata hao voda waache wafanye yao...
alisikika kiongozi mmoja wa TCRA aksema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom