Ni kweli Biblia inasema ukweli au unataka kusema inasema uongo?
Dah, vodA mnazingua... Dah, gb1 sasa mm nitafanyia nn gb1? Hata 1080p moja tu sipati... Naanza ku-doubt my future with voda...
😎😎😡😡:banghead::banghead:
mkuu we upo basi gano
mkuu nimekosa hata basi la kupanda, kwa sasa ngoja niende kwa miguu tu (bundle za kawaida) likipatikana basi lingine nitapanda
mkuu nimekosa hata basi la kupanda, kwa sasa ngoja niende kwa miguu tu (bundle za kawaida) likipatikana basi lingine nitapanda
Uongo mwingi mle kama unataka hiyo debate sema nikufungue macho....ya kwanza ni jua kuzunguka dunia na ilisababisha Kanisa kumuua Galileo Galilei aliyekuwa akifundisha Heresy maana kanisa lilitoa tamko enzi zile kuwa atakaye toa mafundisho ya uongo auawe mwisho wa siku Pope paul II alikuja kuomba uma msaada ....waweza google upate full story hiyo ni moja nimeitaja sababu inahusiana na Sayansi ukitaka nyingine nambie maana nimesoma THEOLOGY
Jambo hilo haliwezi kuifanya Biblia nzima kuwa ni ya uongo au ni ya kusema uongo. Kama wewe umesoma theology basi isiwe shida mkuu.
B4 letting it go nakosoa ...Sijasema the all thing ni myth bali there are some wrong things and Thank The son of Mary aliyafanyia Rectification in the New testament but uongo utabaki pale pale
.Fadhili Paulo na njunwa wamavoko mkitaka kubishana biblia nendeni jukwaa la intelligence patawafaa. huku ni sayansi na tekenolojia
Fadhili Paulo na njunwa wamavoko mkitaka kubishana biblia nendeni jukwaa la intelligence patawafaa. huku ni sayansi na tekenolojia
Mkuu Joe Nyandigira bahati mbaya siku hizi sipendi kabisa kubishana na mtu kwa jambo lolote lile.
Hii unajiunga vp I see itanifaa hii
basi tena mi ntabaki na university promo..500mb, dk 50 sms 500. Kuliko kujiunga usiku kwa hio gb 1 wameniuzi kinoma aisee