Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,832
tsh 500 kwa voda tsh350 kwa tigo ....*149*02# kwa voda ...*148*01*20# kwa tigohiyo university promo ipo mtandao gani? Na unajiungaje?kwa sh ngap?
tsh 500 kwa voda tsh350 kwa tigo ....*149*02# kwa voda ...*148*01*20# kwa tigohiyo university promo ipo mtandao gani? Na unajiungaje?kwa sh ngap?
Uongo mwingi mle kama unataka hiyo debate sema nikufungue macho....ya kwanza ni jua kuzunguka dunia na ilisababisha Kanisa kumuua Galileo Galilei aliyekuwa akifundisha Heresy maana kanisa lilitoa tamko enzi zile kuwa atakaye toa mafundisho ya uongo auawe mwisho wa siku Pope paul II alikuja kuomba uma msaada ....waweza google upate full story hiyo ni moja nimeitaja sababu inahusiana na Sayansi ukitaka nyingine nambie maana nimesoma THEOLOGY