G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,614
- 8,617
Juzi tar 20 saa 5.09 PM nilienda kwa wakala kutoa pesa kiasi cha Tsh 230,000/= kwa bahati mbaya nikakosea namba moja na pesa ikaenda kwa wakala mwingine,nilipiga simu hamkupokea kitengo cha kuhudumia wateja wa M Pesa.na kama nusu saa baadae mlipokea na mkasikiliza lalamiko langu na kuahidi kuludisha pesa hyo ndani ya 72hrs masaa ambayo yalishakwisha toka jana jioni na muda kidogo nikakupigieni tena simu na mkaishia kusema tena mnashugulikia tatizo fedha zangu zitarudi muda si mrefu bila mafanikio,leo asubuh nimekupigieni tena simu kulalamika na mtoa huduma akaniambia mnashughulikia.mpaka naandika hapa naitegemea sana hyo pesa nitie mafuta kwa gari nirudi kazini Arusha toka Mwanza mnaniangusha,mnataka nifanye nini??? Hyo pesa mtailejesha na riba?hata kama ni mimi ndo nilikosea namba moja basi nioneeni huluma nipeni pesa zangu jamani..!!!!nazitegemea sana. kwangu mimi laki mbili na thelasini elfu ni uhakika wa kusogeza siku,please nipeni pesa zangu aisee