mkuu sijaanza kutumia hivi vifaa leo na sijawahi kulalamika kuibiwa na Vodacom hapo kabla.....punguza dharau zako. Mbona hapo kabla sijawahi kulalamika au hizi updates umeniwekea wewe mpaka unilazimishe nikubali kuibiwa na hao makaburu? je, huo ukibaraka wa makaburu unaofanya ni wa kulipwa au ni wa kujitolea? naomba unijibu haya maswali ili nijue naongea na nani, isije ikawa naongea na MD wa Vodacom (mtetea masilahi aka mchumia tumbo)Nauliza tena mkuu ila samahani sana umesoma fani gani? Ili nijue naongea na nani au naanza vipi ili tuelewane
waboa kiukwelVoda wanaboa. Kuna mtu wamekomba mb zake 500 wakaacha sms na dakika tu.
They have to change otherwise they may remain with no customers soon
umeonaa eeeVodacom ni wezi, anayewatetea atakuwa mwizi tu! Nimesema mimi, mwenye nguvu anifate sasa!
Hilo jamaa ndo zake hizo kuropoka ropoka hovyo na kuleta siasa kwenye matatizo ya raia. Utu imekua bidhaa adimu sana kwa waungwana kama hao. Nafikiri asamehewe tu maana hata kama aliwahi kusoma basi hajaelimika.Acha siasa kwenye vitu vya kitaalamu wewe! Kila sehemu siasa hata ambako siasa haihitaji? Unaonyesha kiwango kidogo cha elimu Yako! Jaribu kuficha ajue mkeo na Watoto tu.
Kabisa yani bro Halotel wpo vizuri sana tena sana maana mm mitandao yote nmetumia na najua mapungufu yao mfno,Halotel ndio mpango mpaka nahisi mimi ndio nawaibia nini? cheap,fast,durable.
Nikweli mimi baada ya kushitukia ujanja wao nimekimbilia halotel.Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:
Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:
*******************
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM
*******************************************************************************
Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:
*******************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM
*****************************************************************************
Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:
*************************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM
************************
Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 4! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn’t expect such a foolish theft from Vodacom.
N.B
Huu WIZI unanitokea mara kwa mara ila leo uvumilivu umefika tamati. Nina hakika wateja wengine wa Vodacom mliomo humu mmeishashuhudia huu wizi UCHWARA. Siwezi kuwa adui kwa usema ukweli.
Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:

Hata kama ni ndogo ni zangu na ninsibiwa kila siku. Wewe unataka nini?
,SIJUI NIKUTUKANE.... AH NGOJA NTARUDIMkuu, pole sana. Huo mtandao wa Voda Lowasa na Rostam ndio wenye hisa nyingi. Lowasa kafilisika kutokana na kutumia fedha nyingi kwenye uchaguzi. Rostam Aziz naye kafilisiwa na Lowasa. Hivyo hawana namna ya kuongeza kipato zaidi ya kuwabana wateja wa kampuni yao
Hata kama ni ndogo ni zangu na ninsibiwa kila siku. Wewe unataka nini?