Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

Nauliza tena mkuu ila samahani sana umesoma fani gani? Ili nijue naongea na nani au naanza vipi ili tuelewane
mkuu sijaanza kutumia hivi vifaa leo na sijawahi kulalamika kuibiwa na Vodacom hapo kabla.....punguza dharau zako. Mbona hapo kabla sijawahi kulalamika au hizi updates umeniwekea wewe mpaka unilazimishe nikubali kuibiwa na hao makaburu? je, huo ukibaraka wa makaburu unaofanya ni wa kulipwa au ni wa kujitolea? naomba unijibu haya maswali ili nijue naongea na nani, isije ikawa naongea na MD wa Vodacom (mtetea masilahi aka mchumia tumbo)
 
Lazima kuna kitu kinajiupdate hapo..chunguza vzr badala ya kutupia tuhuma nzito kwa kampuni..kwa mfano watu wanaotumia android utakuta amejisajili kusave picha online hivyo.automatically akiweka data zinaanza kusave bila mwenyewe kujua
 
Acha siasa kwenye vitu vya kitaalamu wewe! Kila sehemu siasa hata ambako siasa haihitaji? Unaonyesha kiwango kidogo cha elimu Yako! Jaribu kuficha ajue mkeo na Watoto tu.
Hilo jamaa ndo zake hizo kuropoka ropoka hovyo na kuleta siasa kwenye matatizo ya raia. Utu imekua bidhaa adimu sana kwa waungwana kama hao. Nafikiri asamehewe tu maana hata kama aliwahi kusoma basi hajaelimika.
 
All this because of 37.3 MB worth less than $0.50? This is nothing more than a storm in a cup of tea.
 
Halotel ndio mpango mpaka nahisi mimi ndio nawaibia nini? cheap,fast,durable.
Kabisa yani bro Halotel wpo vizuri sana tena sana maana mm mitandao yote nmetumia na najua mapungufu yao mfno,
(i)Vodacom wanagharama sna tena sna,
(ii)Tigo ni uozo tena uozo maana huduma zao mbovu, unapga cmu unaambiwa haipatkan n ukipga km mara 2 au 3 ndyo inaita na internet yao hamna kitu n speed y kobe tena kobe mgonjwa
(iii)Airtel ndyo wezi tena wezi hsaa ,unapga cmu n call summary inasema sek 10 ,ukikata cmu wanakunotify umetumia sek 33 ,internet yao ipo chini cku hzi lbda utumie kwnye laptop ila kwa cmu ni ovyo unaweza kuwa mjini na usipate 3G
(iv)Zantel wna gharama nafuu sna tena sna mpka raha ila tatizo ukitoka nje ya mjini n kazi imeisha, no network mpka upate kamji ndyo mambo bye
(v)Haloter wko safi sna tena sna 3G ni nzuri tena nzuri ila kwenye vifurush vya kupga simu ni utumbo
 
Kaka hata mimi jana jioni nimefanyiwa hivyo hivyo. Nimeweka vocha ya tzs 1500 nikajiunga na kifurushi cha GB 1.. Nikapata confirmation kabisa kwamba nimeunganishwa na kwamba niendelee kutumia. Cha kushangaza, ndani ya dk zisizozidi 15 naona meseji inaingia kwamba MB zinakaribia kuisha, mara ghafla internet ikawa loadiiing tuuuu haisomi. Meseji ikaingia tena kwamba furahia intaneti kwa tzs 0.2per kb. Aiseee nimemaindi sana. Mimi ni Sotware Developer, sikuwa nadownload chochote wala lolote. Ndio kwanza nimewasha mashine nianze kufanya yangu. GB 1 kuisha ndani ya dk 15 kweli jamani. ..?
 
All this because of 37.3 MB worth less than $0.50? This is nothing more than a storm in a cup of tea.
Hata kama ni ndogo ni zangu na ninaibiwa kila siku. Wewe unataka nini?
 
Nilidhani nipo peke yangu. Tangu juzi nimeona hiki kitu kwangu.
Jana usiku nimelala na 237MB na nikazima simu ,this morning nimewasha tu unakuja ujumbe kuwa MB za kifurushi zimekwisha !!!!
 
Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:

Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:

*******************
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM
*******************************************************************************
Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:

*******************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM
*****************************************************************************
Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:
*************************
Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM
************************
Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 4! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn’t expect such a foolish theft from Vodacom.

N.B
Huu WIZI unanitokea mara kwa mara ila leo uvumilivu umefika tamati. Nina hakika wateja wengine wa Vodacom mliomo humu mmeishashuhudia huu wizi UCHWARA. Siwezi kuwa adui kwa usema ukweli.
Nikweli mimi baada ya kushitukia ujanja wao nimekimbilia halotel.
 
Mkuu hawa watu wanatumia udhaifu wa TCRA kufanya wapendalo, hakuna ufatilaji wa karibu wa mienendo ya makampuni haya ya mitandao ya simu - TCRA wako busy kwenye semina elekezi na kutishia mafundi wa ku flash firmware za simu basi.

Niliwahi siku moja kueleza nilivyo shituliwa na kauli ya Maneja Mvietnam wa kampuni ya HALOTEL aliye niambia kwamba wao awawezi kwenda kinyume na Kampuni ya Voda i.e hawa-support biashara huria - alipo niambia hivo nilichoka! Nikawa najiuliza maswali mengi: hivi hii Voda siku hizi ndiyo inafanya kazi za TCRA au na yenyewe imekwisha kuwa Serikali ndani ya Serikali - nikajua kuna watu wanawapa jeuri si bure!!

Sasa tukija katika suala za bundle zako ku sublime kwenye thin air zitakuwa zinafuata mkondo huo huo - ukisha access internet basi system zao zinekwisha kuwa primed ku-countdown regardless ya browers yako kama hiko active au idle. Lakini wakati mwingine kuna apps zinaji update kwenye background ya simu yako bila ya wewe kujua kinacho endelea under the hood, jaribu ku check hicho kitu ili zisiwe zinaji update automatically na kumaliza bundle zako in no time.
 
Hata kama ni ndogo ni zangu na ninsibiwa kila siku. Wewe unataka nini?

Mkuu ndiyo maana wahenga walisema "akili ni nywele kila mtu ana za kwake" Yaani ukitafakari hoja ya jamaa mtu unakosa mantiki yake ni nini hasa!!!
 
Mkuu, pole sana. Huo mtandao wa Voda Lowasa na Rostam ndio wenye hisa nyingi. Lowasa kafilisika kutokana na kutumia fedha nyingi kwenye uchaguzi. Rostam Aziz naye kafilisiwa na Lowasa. Hivyo hawana namna ya kuongeza kipato zaidi ya kuwabana wateja wa kampuni yao
,SIJUI NIKUTUKANE.... AH NGOJA NTARUDI
 
Kumbe tupo wengi mpaka Jana jioni niliamua kuanza kutumia airtel ila kwa kifupi mitandao karibu yote ni majambazi
 
Hata kama ni ndogo ni zangu na ninsibiwa kila siku. Wewe unataka nini?

Badala ya kutoa povu JF bora ungepiga simu vodacom customer service kwanza. Bila shaka ungeambiwa sababu gani vi-megabytes vyako viliisha.
 
Back
Top Bottom