Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

Asante nilitaka nimuulize kuhusu auto download hasa kwa Pc
Hakuna kitu kama hicho kiwango cha data kinacho katwa ndani ya muda mfupi hakilingani na kiasi cha 'auto download' na tunajua kunayo hiyo auto so nimeziswitch off. Na je ni update gani hizo zisizo isha? au nyie mnatumia net ya ofisi hivyo machungu haya yanawapitia mbali?
 
Kaka hata mimi jana jioni nimefanyiwa hivyo hivyo. Nimeweka vocha ya tzs 1500 nikajiunga na kifurushi cha GB 1.. Nikapata confirmation kabisa kwamba nimeunganishwa na kwamba niendelee kutumia. Cha kushangaza, ndani ya dk zisizozidi 15 naona meseji inaingia kwamba MB zinakaribia kuisha, mara ghafla internet ikawa loadiiing tuuuu haisomi. Meseji ikaingia tena kwamba furahia intaneti kwa tzs 0.2per kb. Aiseee nimemaindi sana. Mimi ni Sotware Developer, sikuwa nadownload chochote wala lolote. Ndio kwanza nimewasha mashine nianze kufanya yangu. GB 1 kuisha ndani ya dk 15 kweli jamani. ..?
umeona eeh? labda hawa voda watuambie kama kuwasha tu PC bila kufanya chochote kunatumia bundle. vodacom ni zaidi ya MAJIZI.
 
Nilidhani nipo peke yangu. Tangu juzi nimeona hiki kitu kwangu.
Jana usiku nimelala na 237MB na nikazima simu ,this morning nimewasha tu unakuja ujumbe kuwa MB za kifurushi zimekwisha !!!!
mkuu yaani vodacom ni zaidi ya MAJAMBAZI.wanapora bundle za wa wateja mchana kweupe tena kwa kutumia mtutu.
 
Unadhani wewe mwenyewe ndio unatumia laptop? Wote tunatumia na tumesoma IT so usitudanganye kadanganye kijijini ambako hawajui! Natumia simu ya smartphone na laptop na huwa nafuatilia sana hayo ni mambo ya kawaida kama updates iko automatically na simu mtu kainstall app, background inafanya kazi kwenye laptop unafikiri inatumia maji?

utakuwa mfanyakazi wa voda wewe au unafikir huyo jamaaa kaipata hiyo kadhia peke yake wengine tushaamua kitambo kuachana na bando za voda za wizi huo usomi wako wa it unahusika vipi na wizi wa bando kwa mteja? nilikuwa natumia nokia x2 kuingia tu fb ndani ya saa moja mb 150 zimeisha unataka kuniambia nayo nokia x2 inajia update unakoroma kwa tatizo la mwenzio huyo sio kichaa kuleta habar hapa kaambatanisha hadi ushahid.
 
huu uzi umevamiwa na litendaji limoja la voda hovyo kabisa linafikir tatizo lipo kwa jamaa tu mbona tigo na aietel hukuna mambk za kihanisi kama za voda linasema eti setting sijui kuji update linafikir utumiaji wa mitandao tumeanza 2016 hovyo kabisa
 
Badala ya kutoa povu JF bora ungepiga simu vodacom customer service kwanza. Bila shaka ungeambiwa sababu gani vi-megabytes vyako viliisha.
mkuu nani kakuambia kuwa customer care wanajua haya mambo ya internet?
 
huu uzi umevamiwa na litendaji limoja la voda hovyo kabisa linafikir tatizo lipo kwa jamaa tu mbona tigo na aietel hukuna mambk za kihanisi kama za voda linasema eti setting sijui kuji update linafikir utumiaji wa mitandao tumeanza 2016 hovyo kabisa
Acha kutoa povu! Utumiaji wa mitandao unamanisha nini? Aietel unamanisha halotel au airtel? Kiufupi tu ni kuwa hujui unachongea na wala mimi sio mfanyakazi wa Voda na ninatumia mitandao yote unayoijua hapa Tanzania na uzoefu wangu umenionyesha watanzania wengi tu wajinga kwenye kuelewa technolojia inavyokwenda kwa hiyo sishangai watu kama wewe kwani wengi wetu tuko hivyo, watu walianza nikiweka hela inakatwa bila hata Kujua kuna mahuduma amejisubsribe bila kuijua, mara imekuja bundle linaisha bila kujiuliza nini kinatumia bundle yeye mbio mbio kwenye mitandao ya kijamii, unasema kaleta vithibitisho embu tuonyesha hivyo vithibitisho? Acheni biashara za kuchafua biashara za watu bila kujiridhisha mcholalamikia kimethibitishwa kitaalamu. Wewe na kinokia chako ndio unathibitisha kitaalamu! Wengine wanajiunga hata msg haijarudi keshaingia kwenye matumizi hela inaliwa dakika anasema bundle limeliwa yaani Tanzania ni nchi ambayo idadi ya wajinga ni kubwa kuliko nchi zote za africa mashariki na kati.
 
hamia HALOTEL...mimi nafurahia maisha ndani ya halotel
 
hili sasa ndo povu lenyewe ushameza ndoo ya omo kifupi voda ni wezi hiyo mitandao yote uliyoorodhesha hapo wako safi kinoma kifurushi cha jero unapata mb 300 wakati wezi voda unapata 150 na bado kwa dakiki 4 wanakula mb zaidi 37
 
Hawa Vodacom NDANI ya wiki MOJA tu Kifurushi cha Tshs 1500/= nimeunga mara 3, yaani muda si mrefu kifurushi chako kimekaribia kuisha/kimeisha!! Hata kama umetumia dk na MB chache tu!!!

Tatizo ni TCRA; kazi yo imegeuka, badala ya kuangalia ufanisi wa mitandao hii wao wamejikita ktk ISSUE ya Usamala tu!!

Afu kuna ya Voda ya Automatic computer system ina niboa sana. Mtu umelala na umeweka simu mbali kujikinga na mionzi wao saa 11 alfajiri wanakupigia. Kucheki upuuzi wao mtupu!!
 
Jamani mimi vodacom mh! Kuna siku nimenunua salio kwa mpesa, salio halikuingia, hali hii ikajirudia mara kadhaa ck tofauti. Nikaamua kupiga huduma kwa wateja nikajibiwa mpesa ina shda. Hadi naandika hapa sijawahi kurudishiwa pesa iliyopotelea hewani!
 
Badala ya kutoa povu JF bora ungepiga simu vodacom customer service kwanza. Bila shaka ungeambiwa sababu gani vi-megabytes vyako viliisha.

Acha dharau kama hutumii mtandao wa Vodacom kaa kimya tu kwa maana utakuwa unajadili kitu ambacho hukijui. Sisi ambao tunatumia mtandao wa Vodacom tunakwambia Vodacom ni wezi - Vodacom Customer Service siku hizi hawapokei simu kama unabisha jaribu wewe uone kama wataipokea.
 
Back
Top Bottom