Mkuu hawa watu wanatumia udhaifu wa TCRA kufanya wapendalo, hakuna ufatilaji wa karibu wa mienendo ya makampuni haya ya mitandao ya simu - TCRA wako busy kwenye semina elekezi na kutishia mafundi wa ku flash firmware za simu basi.
Niliwahi siku moja kueleza nilivyo shituliwa na kauli ya Maneja Mvietnam wa kampuni ya HALOTEL aliye niambia kwamba wao awawezi kwenda kinyume na Kampuni ya Voda i.e hawa-support biashara huria - alipo niambia hivo nilichoka! Nikawa najiuliza maswali mengi: hivi hii Voda siku hizi ndiyo inafanya kazi za TCRA au na yenyewe imekwisha kuwa Serikali ndani ya Serikali - nikajua kuna watu wanawapa jeuri si bure!!
Sasa tukija katika suala za bundle zako ku sublime kwenye thin air zitakuwa zinafuata mkondo huo huo - ukisha access internet basi system zao zinekwisha kuwa primed ku-countdown regardless ya browers yako kama hiko active au idle. Lakini wakati mwingine kuna apps zinaji update kwenye background ya simu yako bila ya wewe kujua kinacho endelea under the hood, jaribu ku check hicho kitu ili zisiwe zinaji update automatically na kumaliza bundle zako in no time.