Vodacom ndio kusema mmesamehe au?

Vodacom ndio kusema mmesamehe au?

Humu watu wanajifanya(ga) maisha safi kumbe jeuri ya songesha hahahaha lipeni madeni acheni janja janja
 
*Kwa swala la voda,namna WANAVOCHAKATA GHARAMA KWA MIAMALA kama vifurushi & huduma za kifedha; imekuwa katisho la tamaa kwa wateja wake.

*Ila tofauti ya MUDA TANGU MTEJA AMENUNUA KIFURUSHI na KUKATA KIFURUSHI umekuwa hauko wazi...wateja wanadhani wanaibiwa na mtandao huo.

*NI MUHIMU KULIPA MADENI...japo pia nao(voda) waoneshe ushirikiano kwa wateja na huduma bora & HAKI ZA MTEJA(uwazi wa gharama,usahihi wa taarifa) wazingatie.
 
Ni kweli sisi wadaiwa sugu wote tumesamehewa kweli na hawakati natumia toka wiki jana, mimi nilikuwa nadaiwa 48,000+ na nikaitelekeza mpesa kwa karibu mwaka.

Watakuwa wamepiga hesabu wameona wanapata hasara kwa sababu wateja wenye sifa zote za kufanya transaction wananufaisha mitandao mingine.
Kweli kabisa, kwa zaidi ya mwaka ungekua unatumia huduma zao ilikua zaidi ya hiyo elfu 48..maana sisi wa tz ni wabishi, tupo radhi kukuhama tu..zaidi ya mwana pia situmii mpesa, subiri nirudi nione..elfu 44 yao wawe wapole tu
 
Ni kweli sisi wadaiwa sugu wote tumesamehewa kweli na hawakati natumia toka wiki jana, mimi nilikuwa nadaiwa 48,000+ na nikaitelekeza mpesa kwa karibu mwaka.

Watakuwa wamepiga hesabu wameona wanapata hasara kwa sababu wateja wenye sifa zote za kufanya transaction wananufaisha mitandao mingine.
Lakini hii tabia ya kukopeshwa fedha halafu unakimbia deni ni mbaya sana, ukishawakimbia voda unaenda TIMIZA kule airtel, nako ukiwakumbia unaenda TIGO. Sasa ukimaliza wote huko, na kwa kuwa umezoea kula nyama ya mtu, sasa unaingia mitaani kwa jirani zako, wafanyakazi wenzako etc...
 
Halafu kesho kutwa mnaanza kulialia vijana hatupati mikopo blah blah...48,000/- tu unatelekeza line je ukikopeshwa 50m si utahama na nchi!
Si ndiyo hapo sasa mkuu? Na hawa ndiyo waluopelekea usajili wa laini za simu kwa vidole na picha. Mimi voda nakopa sana, hasa kwenye issues za Luku, bili ya maji etc wanasaidia sanaa. Na uzuri wenyewe hata ukiwa na elfu 5 inapunguza deni...
 
Mbona mimi huo msamaha sinufaiki nao em nipe mbinu za kunufaika.
ila voda ni wajinga wamenibadilishia vifurushi vya internet kutoka buku mpaka buku tatu yaani sina hamu nao tena.
 
Halafu kesho kutwa mnaanza kulialia vijana hatupati mikopo blah blah...48,000/- tu unatelekeza line je ukikopeshwa 50m si utahama na nchi!
.Wanaona ujanja kotolipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom