Halafu kesho kutwa mnaanza kulialia vijana hatupati mikopo blah blah...48,000/- tu unatelekeza line je ukikopeshwa 50m si utahama na nchi!Wakuu hawa jamaa wamesamehe deni au ni kamtego flani wameweka ninase? Ngastuka....
NB: Nilikopa songesha mwakajana mwezi wa 6 nikatelekeza kutumia M_pesa baada ya mambo kua magumu.View attachment 1686393
Watz ni mambumbumbu sana mkuu!Halafu kesho kutwa mnaanza kulialia vijana hatupati mikopo blah blah...48,000/- tu unatelekeza line je ukikopeshwa 50m si utahama na nchi!
Wabongo tuna akili mbovu SanaHalafu kesho kutwa mnaanza kulialia vijana hatupati mikopo blah blah...48,000/- tu unatelekeza line je ukikopeshwa 50m si utahama na nchi!
[emoji106]Halafu kesho kutwa mnaanza kulialia vijana hatupati mikopo blah blah...48,000/- tu unatelekeza line je ukikopeshwa 50m si utahama na nchi!
Mimi hao mpawa waliniambiaga hati ya mashitaka wameshaandaa tayari kwa kosa la mitandao la kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu, sasa hivi wananitumia wanasema HATA WEWE unashindwa kulipa? lipa leo uendelee kukopa.Mm M-PAWA kila siku lazima wanitishie kunifikisha mahakamani mana wananidai 49k
Kumbe na Mataga Mnakopaga.Watz ni mambumbumbu sana mkuu!
Mimi voda inaniokoa sana pindi nikibanwa! Na kila wakinipiga tafu huwa nafanya juhudi nirudishe deni maana najua kuna siku ntabanwa alafu ntashindwa pa kutokea
Mataga ndio watu gani?Kumbe na Mataga Mnakopaga.
Hahahahwahongo mm walinitumia nikajua wananidesh ..kwa mara ya kwanza nikaweka buku kujaribu kweri hawakuchukua na wakanipa vihofa kibao..ww baada yakuweka ten ilikwapuliwa fasta na sms juu kuwa nimekatwa deni la songesha
Chama cha mashetaniMataga ndio watu gani?