assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Si walisema ccm hawatopiga kampeni na kutokutumia wasanii??Vip tena kwa Sms😊Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.
Nitachukua hatua zaidi.
Mimi hapaNdugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.
Nitachukua hatua zaidi.
Kuna ukweli hapa?Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.
Nitachukua hatua zaidi.
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu akubariki.
Nitachukua hatua zaidi.
Twitter, Facebook nk huko si wanapost tuBinafsi sijaona tatizo kupata meseji za vyama tofauti tofauti kwani hata Nchi zilizo endelea hawatangazi kwenye magari barabarani ya kupigia watu kelele wakichapa kazi
Badala yake hutumia TV, Twitter, sms na njia mbalimbali mbadala za kielekroniki kuwasiliana na watu
ni kosa kwa kifungu gani?Twitter, Facebook nk huko si wanapost tu
Lakini kwenye namba ya simu (SMS,kupigiana na WhatsApp) lazima iwe tunajuana au kwa hiari yangu.
Hiyo ni kosa la kunifanyia vurugu,hata zile SMS za sijui voda mtonyo ni kosa
Wewe jua ndio hivyoni kosa kwa kifungu gani?
Ulipo nunua line ya simu uliomba upewe masharti ya umilikaji wa hiyo laini ukajua kampuni (service provider) anamamlaka gani juu ya laini yako?
Hongera sana naona JPM kwa mwandiko wake kabisa kakutumia ujumbe,uteuzi upo njianMods huu ujumbe umetumwa kwa simu yangu