SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,504
- 646
Kama mnavyojua watoa huduma mbalimbali wanavyoendelea kuboresha biashara zao ili kuwavutia wateja, ambapo sasa naongelea virtual card zinazotusaidia kufanya manunuzi mtandaoni.
Airtel Money Mastercard yaweza kuwa salama zaidi kuliko M-Pesa Mastercard, hii ni kutokana na upatikanaji wa taarifa za Airtel Money Mastercard kuwa mgumu mpaka uingie kwa passcode kuliko M-Pesa Master card ambayo taarifa zake ziko nje nje na mtu akichukua simu yako akaenda kwenye USSD ya *150*00# hadi ilipo M-Pesa Mastercard, ataingia pyuuu! hadi ndani.
Vodacom angalieni hicho kitu. Hilo linawatia doa.
Nakumbuka hata zamani walikuwa wanatoa huduma ya email account kwa wateja wao (076.....58@vodamail.co.tz au pia uliweza kuset alias something@vodamail.co.tz) na mimi ni mmoja wa waliokuwa wanaitumia lakini baadaye walisitisha huduma hiyo bila notice yoyote. Hilo nalo ni doa ingawaje bado tumeendelea kuwang'angania. Kilichoniuma zaidi kuna wapsite nilitengeneza enzi hizo na nikaregister kwa kutumia hiyo ......@vodamail.co.tz, na sasa sina access kwenye hiyo wap na hakuna update yoyote nawezafanya huko, hivyo imekaa kizamanizamani tu.