Vodacom msijisahau, kuweni washindani

Vodacom msijisahau, kuweni washindani

Kama mnavyojua watoa huduma mbalimbali wanavyoendelea kuboresha biashara zao ili kuwavutia wateja, ambapo sasa naongelea virtual card zinazotusaidia kufanya manunuzi mtandaoni.

Airtel Money Mastercard yaweza kuwa salama zaidi kuliko M-Pesa Mastercard, hii ni kutokana na upatikanaji wa taarifa za Airtel Money Mastercard kuwa mgumu mpaka uingie kwa passcode kuliko M-Pesa Master card ambayo taarifa zake ziko nje nje na mtu akichukua simu yako akaenda kwenye USSD ya *150*00# hadi ilipo M-Pesa Mastercard, ataingia pyuuu! hadi ndani.

Vodacom angalieni hicho kitu. Hilo linawatia doa.

Nakumbuka hata zamani walikuwa wanatoa huduma ya email account kwa wateja wao (076.....58@vodamail.co.tz au pia uliweza kuset alias something@vodamail.co.tz) na mimi ni mmoja wa waliokuwa wanaitumia lakini baadaye walisitisha huduma hiyo bila notice yoyote. Hilo nalo ni doa ingawaje bado tumeendelea kuwang'angania. Kilichoniuma zaidi kuna wapsite nilitengeneza enzi hizo na nikaregister kwa kutumia hiyo ......@vodamail.co.tz, na sasa sina access kwenye hiyo wap na hakuna update yoyote nawezafanya huko, hivyo imekaa kizamanizamani tu.
Dah hapo kwenye vodamail hata mimi ilinifanya nipoteze blog yangu... longtime ago
 
Dah hapo kwenye vodamail hata mimi ilinifanya nipoteze blog yangu... longtime ago
Si wangeirudisha kwa muda ili tufanye changes kwenye site zetu maana nahisi walikuwa na backup hiyo system, mbona wanatoaga muda temporary kwa Till numbers zilizofungiwa kwamba watumie huo muda kuhamisha fedha zao, kwa nini na sisi wasingetufanyia hivyo?
 
Nilitengeneza kipindi najifunza nahsi nilikuwa 4m1 now nikisoma nilichokiandika huko natapika.Ivi blog hai expire baada ya muda fulani bila Admin kulogin miaka kadhaa
 
Nilitengeneza kipindi najifunza nahsi nilikuwa 4m1 now nikisoma nilichokiandika huko natapika.Ivi blog hai expire baada ya muda fulani bila Admin kulogin miaka kadhaa
Mara chache sana huwa zinazimika endapo zikikosa fedha za kuziendeleza maana mimi nakumbuka zamani nilikuwaga natumia social network iliyokuwa ikiitwa 'bluepulse.com' hiyo ikawa discontinued na nyingine iliyokuwaga kama youtube flani hivi ikiitwa 'mywaves.com' nayo kwisha kazi enzi za miaka ya 2006-2007. Na wapsite niliyotengenezaga nilitumia Xtgem wap builder kwenye mwaka 2007 mpaka sasa hivi wanapeta na iko online lakini sina access nayo. Nimeamua kutengeneza nyingine kutoka humohumo kwa kuwa naona kama wanaweza angalau kudumu kwa muda. File Upload limit yao ni mb2 bila ads na mb5 ikiwa na ads.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom