GenerationY
Senior Member
- Sep 12, 2020
- 174
- 325
Yaani ukipiga simu huduma kwa wateja Vodacom Tanzania kuna uwezekano wa 95% ya kukujibu utumbo, yaani sijui wana haraka gani ya kuprocess complaints za Wateja!!! Wanakujibu jibu lolote linalokuja mdomoni mwao muda huoMkuu nimefanikiwa kuongea na mtoa huduma two times, lakini wamenijibu mashudu. Nadhani decision ni kutafuta line ya haloteli.