Vodacom mnatuumiza wateja wenu

Vodacom mnatuumiza wateja wenu

Hahaha internet inategemea umeme wa Tanesco. Da bongo bado sana inabidi na wao wajipange
INATEGEMEA UPO ENEO GANI MKUU, MIMI ENEO NILIPO INTERNET YA HALOTEL INA SPEED KULIKO YA VODACOM ILA UMEME UKIKATIKA TU NA INTERNET YA HALOTEL INAKATIKA.
 
Mkuu kutumia haloteli nimechelewa sana mkuu, kesho nataka kwenda head quarter nikatengeneze special namba. Nianze kukata mawimbi na haloteli japo wengine wanasema ina kasi ya kobe.
Mkuu hivi bado mpaka leo unatumia vodacom?, vodacom ilikuwa zamani skuiz haipo, tumia ttcl, tigo na halotel ndo mitandao yenye viwango tz ya leo.
 
Hahah mkuu hawa wamekwama kinoma yani hapo wanakulazimishia mkopo ili wapate ile riba ya shillingi 100, wakizikusanya kwa watu kama million mbili hivi huoni kuwa watakuwa wamesongesha mambo yao? Ila wanatuumiza kweli.
Duh! Kumbe ni kweli? Hili tatizo la kulazimishwa mkopo nimelisikia hapa kitaa muda huu mtu akilalamika 🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆

vodacom mtuambie mmekwama wapi?
 
Mkuu nimepitia comments zote wengi wanaopigia chapuo Haloteli na Zantel katika hizo mbili itabidi nihamie moja tatizo kujua ipi iko fresh kwenye kasi na vifurushi. Labda tungejua na mabando yao yapoje.
Hamia Zantel mkuu. Mimi siku hizi Voda naitumia kwa M-PESA tu. Bundle zao za internet ni majanga. Unaweza kununua Gb moja baada ya nusu saa unaambiwa kifurushi kimeisha na wala hujadownload hata video yoyote labda umeperuzi website mbili tatu tu. Mhh!
 
Wanafaidika kwa kutuibia tu TCRA sijui wapo wapi, maana malalamiko ya wateja yamekuwa mengi huku Jamhuri ikiwa kimya tu.
Milijua ni simu yangu aise..kwenye simu yangu nimefunga apps karibu zooote zimebaki nne tu..lakini hizo mb zinavyomwagika hadi huruma

Bora mihamie Halotel au Zantel.

@ Vodacom Tanzania mje mjibu tubum huku
 
Na ukipiga huduma wa wateja wale wadada wanaonekana wengi hawana experience au wengi wao hawajui kazi zao, mtu unampigia simu anapokea anakwambia wewe huna mkopo, wakati yeye yupo kwenye system na anaona, nikampigia mwengine hapo hapo customer care huyu anajibu kirahisi kabisa eti wewe umekopa mwenyewe nikamwambia ningekuwa nimekopa ningepiga simu hapa ofisini kwenu? They are so Poor
Hii nakupongeza alafu wanakuwekea sauti na nyimbo kwenye kompya record hadi unakata tamaa .kingine ukiweka vocha ya kukwangua wanaifyeka alafu unaambiwa eti ulikuwa unadawa.
 
Wanakupa madakika zaidi ya 100 kwa 1500 yako hahaha wameshafanya research wanapoteza wateja. Wanataka kuwarudisha kiaina
Voda ujinga walioufanya nikwenye vifurushi vya maongezi voda to voda dakika unapewa mpaka zingine huwezi maliza, ila voda tomitandao mingine, ndio changamoto ni ghali sana
 
Mkuu we unakomaa nao tu,mie nimenyoosha mikono
Voda mambo gani haya,
Nanunua kifurushi cha social bundle cha mwezi mzima, MB bado zipo za kumwaga lakini bundle halifanyi kazi ( siwezi kulitumia, lipo tu) ila nikijiunga bundle jipya inakubali ila hili la mwezi ni kama maua tu siwezi tumia.
 
Kwenye network wanajitahidi sema uwizi wao wa waziwazi ndio unaumiza mkuu
Unachosema ni kweli, mimi mwenye nipo mbeya maeneo ya mjini unapata 4G ila ukiwa nyumbani hamnakitu, hatamimi natumia voda hasakwenye internet
 
Nilikomaa mzee nikajua nitapata jibu la kuridhisha lakini wapi. Yani vodacom tanzania bure kabisa
Hii nakupongeza alafu wanakuwekea sauti na nyimbo kwenye kompya record hadi unakata tamaa .kingine ukiweka vocha ya kukwangua wanaifyeka alafu unaambiwa eti ulikuwa unadawa.
 
Hamia Zantel mkuu. Mimi siku hizi Voda naitumia kwa M-PESA tu. Bundle zao za internet ni majanga. Unaweza kununua Gb moja baada ya nusu saa unaambiwa kifurushi kimeisha na wala hujadownload hata video yoyote labda umeperuzi website mbili tatu tu. Mhh!
Hapo umesoma tu SMS what's app

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hii nakupongeza alafu wanakuwekea sauti na nyimbo kwenye kompya record hadi unakata tamaa .kingine ukiweka vocha ya kukwangua wanaifyeka alafu unaambiwa eti ulikuwa unadawa.
nacheka kama vizuri, Mimi ilitokea nikajiuliza mbona huwa sijiungi na takataka zenu eti labda mtu mwingine alitumia mambo ya ajabu haya nishaacha mambo ya kukwangua vyocha upuuzi mwingi sana.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili ya kawaida simu haiwezi kujiunga kwenye huduma yenyewe..
Pengine umejiunga bila kukusudi/bila kujua... Mfano kuna code ukiweka zilizoko kwenye matangazo inajiunga direct. Au
Mtu katumia simu yako akajiunga kwa maksudi au bahati mbaya
Mitandao ya simu yenyewe wanaweza kukuunganisha na huduma fulani kwa kutumia system yao bila wewe kujua au bila hata wao wenyewe kujua
 
Back
Top Bottom