Vodacom mnatuumiza wateja wenu

Vodacom mnatuumiza wateja wenu

Uhamie wapi mkuu mi Nina laini ya tigo nikijiunga internet ya week inaisha kama upepo
Namimi sina hamu Vodacom naungwa na huduma ambayo sijahitaji halafu nakatwa sh.100 kila siku Huduma ya kucheza na gemu haina mashiko kwangu sipendi kucheza gemu
 
Ila bora ubaki voda halotel internet yao ni kama Kobe
 
Kwa akili ya kawaida simu haiwezi kujiunga kwenye huduma yenyewe..
Pengine umejiunga bila kukusudi/bila kujua... Mfano kuna code ukiweka zilizoko kwenye matangazo inajiunga direct. Au
Mtu katumia simu yako akajiunga kwa maksudi au bahati mbaya
 
Mkuu ndio walichonifanyia mie, eti nimekopa, dah kwakweli nimejisikia vibaya. Nimeacha kutumia internet yao, kwanza ghali, halafu wanatuibia bando.
Wezi wa vifurushi hakuna mifano, GB kufungua what's app masaa 2 imeisha hapo hauja download hata video moja nimeichoka voda, sahizi naifanya kama simu ya mezani labda habari za M-pesa si wizi mpaka niliwafuata nakuwauliza embu angalieni kitu gani natumia hakuna, eti labda kuna mtu alitumia hivi inaingia akilini kweli? Mie naishi na panya wakuiba MB daa, kutumia internet ya voda hapana si kwamaumivu haya, japo nimekuwa nayo miaka mingi kweli.
 
Mkuu ndio walichonifanyia mie, eti nimekopa, dah kwakweli nimejisikia vibaya. Nimeacha kutumia internet yao, kwanza ghali, halafu wanatuibia bando.
Hadi niliwafuata nikawauliza jamani MB zinashuka kama maji ya mlima ,akawa anajiuma uma tu, basi internet yao nishaiweka kando
 
Hizo 100 wanazopata kwa wizi ndio zinawatajirisha, fikiria watu 10,000 mkiibiwa 100 kila mmoja wamepata shillingi ngapi? 1,000,000 sasa voda wana wateja wangapi? Lazima wawe matajiri.
Namimi sina hamu Vodacom naungwa na huduma ambayo sijahitaji halafu nakatwa sh.100 kila siku Huduma ya kucheza na gemu haina mashiko kwangu sipendi kucheza gemu
 
Yani hayo yote unayosema hayapo mkuu, hadi nimekuja public ina maana nimeumizwa. Simu nilikuwa nayo mwenyewe na nilikuwa siitumii sasa. Voda kama huwajui mkuu jaribu uone.
Kwa akili ya kawaida simu haiwezi kujiunga kwenye huduma yenyewe..
Pengine umejiunga bila kukusudi/bila kujua... Mfano kuna code ukiweka zilizoko kwenye matangazo inajiunga direct. Au
Mtu katumia simu yako akajiunga kwa maksudi au bahati mbaya
 
Hilo swali ukiwauliza watakujibu umetumia mwenyewe. Mie pia walishanijibu hivyo.
Hadi niliwafuata nikawauliza jamani MB zinashuka kama maji ya mlima ,akawa anajiuma uma tu, basi internet yao nishaiweka kando
 
Simu yako ilijipiga,

.ukawa huna salio, ukaja ujumbe bonyeza1 kupata mkopo, ikajibonyeza, hivyo ndivyo imekuwa.

Tengebeza simu yako
 
Sikubaliani na hii theory mkuu
nimekuta meseji tu kwenye simu ikiniambia nimekopeshwa, na jana simu imekaa ofisini muda mrefu hadi muda wa kuondoka ndio nikaichukua. Si kweli mkuu wameniseti.

Tatizo lao ni kutojibu malalamiko ya wateja,lakini unaweza kuta kuna sababu ya msingi ya ni kwanini gb zinaisha haraka. Mkiangalia video kwa dakika moja mmoja akiwa kwenye 4k na mwingine SD ulaji wa gb utatofautiana
 
Ila bora ubaki voda halotel internet yao ni kama Kobe
INATEGEMEA UPO ENEO GANI MKUU, MIMI ENEO NILIPO INTERNET YA HALOTEL INA SPEED KULIKO YA VODACOM ILA UMEME UKIKATIKA TU NA INTERNET YA HALOTEL INAKATIKA.
 
Mkuu hivi bado mpaka leo unatumia vodacom?, vodacom ilikuwa zamani skuiz haipo, tumia ttcl, tigo na halotel ndo mitandao yenye viwango tz ya leo.
 
Yani hayo yote unayosema hayapo mkuu, hadi nimekuja public ina maana nimeumizwa. Simu nilikuwa nayo mwenyewe na nilikuwa siitumii sasa. Voda kama huwajui mkuu jaribu uone.
Sawa bhana🤐.. ila kama hayo unayo yahisi kuhusu hao majamaa nikweli KAZI IPO
 
Hao wajuba nishaachana nao mda
Na uliweza kuongea na mtoa huduma?
 
Back
Top Bottom