Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,204
- 2,639
Hakika Halotel ni mtando wa wanyongeSina mpango wa kuweka salio voda kwa sasa.
Ni mwendo wa halotel tu.
Hakika Halotel ni mtando wa wanyongeSina mpango wa kuweka salio voda kwa sasa.
Ni mwendo wa halotel tu.
I think you mean stupidNa ukipiga huduma wa wateja wale wadada wanaonekana wengi hawana experience au wengi wao hawajui kazi zao, mtu unampigia simu anapokea anakwambia wewe huna mkopo, wakati yeye yupo kwenye system na anaona, nikampigia mwengine hapo hapo customer care huyu anajibu kirahisi kabisa eti wewe umekopa mwenyewe nikamwambia ningekuwa nimekopa ningepiga simu hapa ofisini kwenu? They are so Poor
Hizo zitakua za hao hao customers care....wana wahuni kinomaMimi naomba msaada jinssi ya kufuta namba kwenye menu ya MPESA unapotuma pesa KIPENGELE CHA CHAGUA KWENYE ORODHA. Kwnye orodha kuna namba za simu sizitambui, nilienda vodashop wakasema hawawezi kuziondoa, nikapiga 100 nao wakasema hawawezi kuzifuta.
Hamia Zantel hutojuta. Mimi Nina line za mitandao yote lakini Zantel wako vizuri sanaUhamie wapi mkuu mi Nina laini ya tigo nikijiunga internet ya week inaisha kama upepo
Hapana. Hili la kukopeshwa kwa nguvu nimetoka kubishana na mtu muda huuMkuu kama simu yako ina access na watu wengi kama watoto na mke, kuna uwezekano mkubwa wamekopa bila wewe kujua. Jaribu kucheki hilo.
Internet yao ni majanga. Jaribu Zantel uoneGB zakutumia wiki inaisha kwa masaa 2 tu hapo umefungua JF kama na what's app si bora hata huyo Kobe!
Ni kweli kabisa aisehHamia Zantel mkuu. Mimi siku hizi Voda naitumia kwa M-PESA tu. Bundle zao za internet ni majanga. Unaweza kununua Gb moja baada ya nusu saa unaambiwa kifurushi kimeisha na wala hujadownload hata video yoyote labda umeperuzi website mbili tatu tu. Mhh!
Mimi ninapoishi Arusha sipati kabisa internet ya Halotel kws hiyo line yao nimeiweka kabatiniIla halotel kwenye internet ni wababaishaji balaaaa. Net yao ipo slow sana na vilevile haipatikani kwa ubora maneo mengi nchi hii hasahasa mikoani
Unachosema ni kweli, mimi mwenye nipo mbeya maeneo ya mjini unapata 4G ila ukiwa nyumbani hamnakitu, hatamimi natumia voda hasakwenye internetMimi ninapoishi Arusha sipati kabisa internet ya Halotel kws hiyo line yao nimeiweka kabatini
Nisha achana nao natumia halotel ila na wao sahizi wanajivuta vuta sana sijui wameshiba wateja! Kuna wakati network yao haieleweki , labda nitajaribu sasa na ZantelInternet yao ni majanga. Jaribu Zantel uone
Tatizo lao ni kutojibu malalamiko ya wateja,lakini unaweza kuta kuna sababu ya msingi ya ni kwanini gb zinaisha haraka. Mkiangalia video kwa dakika moja mmoja akiwa kwenye 4k na mwingine SD ulaji wa gb utatofautiana