mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,398
- 3,199
Unaangaliaje hiyo mkuuAngalia setting yako ya Software updates
Unaangaliaje hiyo mkuuAngalia setting yako ya Software updates
Ttcl ukiwa nje ya mji kwa DSM ni zero,labda kama unakaa maeneo ya katika katikatiKaribuni TTCL na Airtel huko mtaibiwa mpaka mjambe
Halotel nimenunua GB 1 nimefungua data natumiwa msg kuwa sina salio LA kutosha...Duh! Mkuu napo ufundishwe kuwa Kuna michepuko Kama Airtel, halotel n.k
Usiseme tu unatumia halotelHivi kumbe kuna watu bado wanatumia voda mpaka leo!!!!
Mnatunyanyasa jamani. Bundle lenyewe hili la kuunga unga.
Aisee sio sawa kabisa. Tatizo ni nini!??
Umerogwa wewe! Unaacha kutumia TTCL GB1 unapata kwa buku siku nzima kupitia TPesa kifurushi kinaitwa Tam Tam Bundle unaenda kupambana na MIBEBERU ya South Africa! Ndio ukome sasa na badoMnatunyanyasa jamani. Bundle lenyewe hili la kuunga unga.
Aisee sio sawa kabisa. Tatizo ni nini!??
Airtel kwetu inaspidi ya kobeNilichogundua internet ya Voda kama huitumii kuingiza HELA bora uachane nayo kabisa
Tumia Voda kama ni mfanyabiashara unahitaji MB ila kama ni matumizi mengine
Asee bakini airtel tu au halotel panatosha mnoooo kwa matumizi binafsi
Acha Utapeli Mpuuzi WeweKASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video na kuwafurahisha wateja wako. Isitoshe hata ukitumia GB zako zote, bado unaweza kuendelea kuwa hewani. Vigezo na Masharti kuzingatiwaView attachment 1251911
Utapeli wangu nini kijana kama kujiunga unajiunga kwa kupiga menu *149*01# na bei utazikuta huko sasa nakutapeli kivipi hapo bossAcha Utapeli Mpuuzi Wewe
Hapo Kwenye 85000 Ume Edit Kabisa Kwa Replacement
Nyau Weeee
mitandao ni ya watuKama unafanya biashara na kuingiza hela inahalalisha kuibiwa MB zako? Haiwezekani 10gb ziishe siku mbili kwa matumizi yale yale ambapo zamani ilikuwa inamaliza wiki
Wewe unachekesha kweli. Eti unaenda nyumba za watu unapewa chakula bure unalalamika! Labda wewe unapewa hivyo usilalamike, wenzio tunanunua kwahio tuna haki ya kudai value for money.mitandao ni ya watu
ukiona unaibiwa unaachana nayo,unatafuta pakuhamia
ni ajabu sana kwenda nyumba za watu unapewa chakula halafu unalalamika
Umeona kitu kibaya unauwezo wa kukiacha na kufata kule unapaona ni nafuu.
Nikijibu swali lako : Kwa upande wangu Waibe tu,nikiona wamezidi kuiba nitahama
Angalia setting yako ya Software updates