UTI mbona imekua tatizo sana nahisi kuna ajenda ya siri

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
UTI mbona imekua tatizo sana nahisi kuna ajenda ya siri

Kila mtu akienda hospital sahivi anaambiwa ana U.T.I mara hivi mara vile

Kila mtu anaambiwa ana U.T.I nahisi kuna biashara za dawa za U.T.I au maana gonjwa lenyewe halieleweki kabisa

Kila hosptali ukienda ndo U.T.I sijui hili gonjwa limetokana na nini maana hadi sasa maswali yamekua ni mengi kupita maelezo.

Nini kipo nyuma ya hili?
 
Madhara ya kuokota tunda jalalani then unalalamika limeoza
 
Ukienda hospitali ya serikali mpaka uje uambiwe una UTI ujue unayo kweli...

Ila kwa kuwa mnaenda kwenye hivyo vi policlinic uchwara vya mtaani, basi endeleeni kugonga dawa za UTI mpaka ziwe sugu🙂

Ni trend tuu ambayo huibuku from nowhere, ni trend mpya iliyokuja kuvunja trend ya "Typhoid" maana nyuma kidogo ilikuwa kila ukienda hospitali ukiwa na homa unaambiwa una typhoid..
 
Fua nguo za ndani , choo kisafishwe kila mara unapokitumia mwaga maji kabla ya kutumia !
Kwa wanawake kama huwa unatumia choo nje na nyumbani jitahidi kuwa dettol kwenye mkoba kabla ya kulimwaga kojo ukimimina na ukaflash itakuokoa. Vyoo vya jumuiya ni kipengele sana

Kunywa maji mengi na hudhuria hospital mara moja unapohisi mabadiliko kwenye mwili wako !!

Shida ni watu kuchukulia poa ugonjwa ndo maana unakua mgumu kutibika mtu akijisikia tu dalili za UTI anakimbilia kumeza antibiotics.

Na michezo yenu siku hizi vijana mtu anautoa mkuyenge barabara ya vumbi anakuja kuuweka kawaida hamwezi kupona.
 
_20231124_154233.JPG
 
UTI mbona imekua tatizo sana nahisi kuna ajenda ya siri

Kila mtu akienda hospital sahivi anaambiwa ana U.T.I mara hivi mara vile

Kila mtu anaambiwa ana U.T.I nahisi kuna biashara za dawa za U.T.I au maana gonjwa lenyewe halieleweki kabisa

Kila hosptali ukienda ndo U.T.I sijui hili gonjwa limetokana na nini maana hadi sasa maswali yamekua ni mengi kupita maelezo.

Nini kipo nyuma ya hili?
Mnapenda kula nyuma sana bandugu
 
Ukienda hospitali ya serikali mpaka uje uambiwe una UTI ujue unayo kweli...

Ila kwa kuwa mnaenda kwenye hivyo vi policlinic uchwara vya mtaani, basi endeleeni kugonga dawa za UTI mpaka ziwe sugu🙂

Ni trend tuu ambayo huibuku from nowhere, ni trend mpya iliyokuja kuvunja trend ya "Typhoid" maana nyuma kidogo ilikuwa kila ukienda hospitali ukiwa na homa unaambiwa una typhoid..

soma hiyo report hapo itakusaidia kujua ukweli
 
kuna report niliisoma mwananchi inaeleza namna vipimo vya UTI vinavyodanganya watu, kuna watu walipeleka hadi maji ya kunywa yakapimwa yakakkutwa na UTI zaidi somamwenyewe ii report

Back
Top Bottom