Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

Hahahaaa jamani muwe postive basi... ila kabla ya kuwatuhumu inabidi mjiridhishe kwanza. Kipindi nina kale kasimu kadogo niliweka vocha ya airtel nataka niunge GB nitumie kwenye pc. Ile vocha nimeweka tu ikakatwa eti nimewasha data. Jamani nilipigwa ganzi..hivi kisim cha batani unawasha vp data.
Ah.. kumbe tupo wengi eeh mm siku hz ni airtel money tu siweki vocha ya kukwangua yaani ile lazma tu itakatwa sijui huwa inaenda wapi!
 
Nilichogundua internet ya Voda kama huitumiii kuingiza HELA bora uachane nayo kabisa

Tumia Voda kama ni mfanyabiashara unahitaji MB ila kama ni matumizi mengine

Asee bakini airtel tu au halotel panatosha mnoooo kwa matumizi binafsi
Kama unafanya biashara na kuingiza hela inahalalisha kuibiwa MB zako? Haiwezekani 10gb ziishe siku mbili kwa matumizi yale yale ambapo zamani ilikuwa inamaliza wiki
 
Hahahaaa jamani muwe postive basi... ila kabla ya kuwatuhumu inabidi mjiridhishe kwanza. Kipindi nina kale kasimu kadogo niliweka vocha ya airtel nataka niunge GB nitumie kwenye pc. Ile vocha nimeweka tu ikakatwa eti nimewasha data. Jamani nilipigwa ganzi..hivi kisim cha batani unawasha vp data.

Huu ujinga wa kukatwa salio ndio ulifanya Vodacom Tanzania iwe line ya akiba.
 
Hatari sana...

GB1 kwa 1000 masaa mawili au...

GB1 kwa 2500 kwa masaa 24...

Cc: mahondaw
Ya kwako tu..

Mimi nipo kufurushi cha 2000... 1.2 GB 24 HRS.

ILA nimejifunza kitu... Huwa nafanya tethering... Kwa PC. NAFIKIRI MA UPDATE YALE...NDO YANAKULA
 
Ya kwako tu..

Mimi nipo kufurushi cha 2000... 1.2 GB 24 HRS.

ILA nimejifunza kitu... Huwa nafanya tethering... Kwa PC. NAFIKIRI MA UPDATE YALE...NDO YANAKULA

Nimetoa muongozo tuu... Mimi nipo kwenye fibre...

Nalipia kwa bandwith

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom