Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

Angalia settings za internet pia, kama unafanya tethering kwenye PC na una Windows 10+ kuna chance ya MB kulika kwa sababu ya automatic updates.

Put "Metered Connection" on.
 
Nilikua na Voda, Tigo na Halotel. Kwa sasa nimebaki na Halotel zingine nimetupa mana ni ujinga unaweka bando hata hujui linaisha vipi.
 
Nina mwezi wa 6 sasa nawachangia katika mambo mengine,sababu najua kabisa hawanijali.
 
KASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video na kuwafurahisha wateja wako. Isitoshe hata ukitumia GB zako zote, bado unaweza kuendelea kuwa hewani. Vigezo na Masharti kuzingatiwa
20191102_151237_0000.jpeg
 
Nilichogundua internet ya Voda kama huitumii kuingiza HELA bora uachane nayo kabisa

Tumia Voda kama ni mfanyabiashara unahitaji MB ila kama ni matumizi mengine

Asee bakini airtel tu au halotel panatosha mnoooo kwa matumizi binafsi
Airtel kwetu inaspidi ya kobe

Halotel inaspid kubwa ila mabando yake ni ya moto, kutoka kifurushi cha chuo shilingi 500 ambapo tulipewa MB 600 per week hadi kufikia kupewa MB 250 si jambo dogo ujue.
 
KASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video na kuwafurahisha wateja wako. Isitoshe hata ukitumia GB zako zote, bado unaweza kuendelea kuwa hewani. Vigezo na Masharti kuzingatiwaView attachment 1251911
Acha Utapeli Mpuuzi Wewe

Hapo Kwenye 85000 Ume Edit Kabisa Kwa Replacement

Nyau Weeee
 
Kama unafanya biashara na kuingiza hela inahalalisha kuibiwa MB zako? Haiwezekani 10gb ziishe siku mbili kwa matumizi yale yale ambapo zamani ilikuwa inamaliza wiki
mitandao ni ya watu

ukiona unaibiwa unaachana nayo,unatafuta pakuhamia

ni ajabu sana kwenda nyumba za watu unapewa chakula halafu unalalamika

Umeona kitu kibaya unauwezo wa kukiacha na kufata kule unapaona ni nafuu.

Nikijibu swali lako : Kwa upande wangu Waibe tu,nikiona wamezidi kuiba nitahama
 
mitandao ni ya watu

ukiona unaibiwa unaachana nayo,unatafuta pakuhamia

ni ajabu sana kwenda nyumba za watu unapewa chakula halafu unalalamika

Umeona kitu kibaya unauwezo wa kukiacha na kufata kule unapaona ni nafuu.

Nikijibu swali lako : Kwa upande wangu Waibe tu,nikiona wamezidi kuiba nitahama
Wewe unachekesha kweli. Eti unaenda nyumba za watu unapewa chakula bure unalalamika! Labda wewe unapewa hivyo usilalamike, wenzio tunanunua kwahio tuna haki ya kudai value for money.
Wewe ukiibiwa hama, Sisi wengine tukiibiwa tunawafichua wezi ili wasiendelee kuibia wengine.
 
Back
Top Bottom