Vodacom Hawajitambui.

Vodacom Hawajitambui.

TTCL wananiboa kitu kimoja...ukiwa na MB huwezi nunua kifurushi kingine kabla hujamaliza MB ulizonazo,ukijiloga tu eti ununue mb 500 mara mbili ili upate 1GB imekula kwako. (hela wanachukua na kifurushi hupati unabaki na mb 500 zako)
hee
 
Mtoa mada Wewe leak ni Mteja wa VIP ndio mnapata menu hiyo.
 
Kuna kile cha tmk super uni.....khaaa
Kifurushi changu pendwa kimeingia doa.

Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.

Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.

Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.

Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.

Kwaheri internet ya voda.View attachment 1138880
 
We kama mimi tu navyoteseka na simu langu la 4G.....tatizo ttcl wadau wanadai kuna maeneo ni chenga haishiki
ime nibidi nirudi nyumbani sasa maana Tshs 1000 napewa MB250 ambapo simu yenyew 4g niki browse IG mara 2 tu kifurushi kinakua kwishney



TTCL
Hongera!Furahia GB5 za intanet kwa siku 30 kwa Tshs. 5,000.Tafadhali maliza kifurushi hiki kabla ya kujiunga na kingine.
 
Wasenge hawa GB 2 kufurushi cha usiku kimeisha hata sijamaliza kudownload muvi zangu za Mb 500 500
 
Voda sijui wamewahonga nini hawa tume ya maeasiliano. Bando zinaisha kama maji.

Nina smart babdo la gb 20 linateleza na ikikaribia mwishoni inaanza kustack mpaka muda unaisha na bado una gb 5.

Ukishaanza kupata meseji za kuongeza bando jipange na fujo
 
Ujinga wa halotel hio 1GB yao ni kiini macho tu, wanakupeni 600MB unadanganywa ni 1GB ukiingia youtube na instagram kidogo tu ishaisha.

😂😂😂😂😂 mie wamentumia sh.50 eti gawio. Wasenge kweli hawa mbuzi wa hitima
Acha uongo mkuu mimi nimedownload zaidi ya muvi 3 kwa GB 3 hizohizo
 
Uzuri wa Voda ni kwamba jinsi unavyokuwa mteja mtiifu kwao ndio wao wanazidi kukunyonga. Line yangu ina miaka karibia ishirini lakini hizo offer zake wanazonipa hadi natamani niitupilie mbali ninunue line mpya.
Na hiki ndicho kinanitoa kwao leo
 
Jamaa wana mambo ya hovyo sana voda,siyo bando ti,leo nmetuma hela kutoka mpesa kwenda benk nmekatwa hela nyingi utafikiri wananikomoa,mi na voda kwa heli ya kuonana sitaki hata kuiskia *****
 
Back
Top Bottom